Jaji Chande: Suala la Upoteaji linatukera hata sisi, hata Ulaya watu wanapotea

Jaji Chande: Suala la Upoteaji linatukera hata sisi, hata Ulaya watu wanapotea

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026

 
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
Mzee mbona kama vile anajitia dole halafu ananusa uchsafu wake ? Kwanini wanaotekwa wawe Chadema tu na wakosoaji wa serikali?
 
Uyu mzee kumbe n takataka bombeyi
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
Chande ujue unazidi kututia hasira, inatosha sasa hatutaki kusikia miguno yenu tena kuleni kimya kimya hayo mamilioni yenu mliyovuna kwa kazi hii haramu.
 
Inawezekana huko kwingine watu wanapotea kwa matukio yasiyozuilika kama vile ajali, ila kwa Tanzania inafahamika kuwa ni utekaji na mauaji yanayofanywa na watawala
 
Aache maneno mengi atupe picha ya waandamanaji wenye bunduki na mabomu kama hii
20260426_235301.jpg
20260426_235301.jpg
 
Anavyoongea anadhihirisha kuwa tatizo la akili linaweza kumpata mtu yeyote bila ya kujali ana elimu kiasi gani! Ukiamua kutumikia uovu, hata akili yako inaharibika, na kuonekana kuwa kiumbe cha ajabi kisicho na faida kwa yeyote isipokuwa waovu wanaokutumia.
 
Back
Top Bottom