Jaji Chande ukitaka kupata taarifa thabiti za tume yako, tumia JAMII FORUMS, hakuna atakayetuma taarifa kwa identity yake kesho atekwe

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Kwa nia njema mmetoa tangazo la wananchi kutuma ushahidi wa yaliyotokea 29 October, 2025.

Hakuna atakayethunutu kuwatumia taarifa yoyote kwa kuogopa identity yake kujulikana na baada ya hapo wamteke na wamuue.

Kuepusha woga huo, fungua page hapa JF mtapata kila kitu mnachokihitaji na kazi yenu itakuwa rahisi sana.

Asante
 
Hakuna atakayethunutu kuwatumia taarifa yoyote kwa kuogopa identity yake kujulikana na baada ya hapo POLISI, TISS, JWTZ wamteke na wamuue.
Kuepusha woga huo, fungua page hapa JF mtapata kila kitu mnachokihitaji na kazi yenu itakuwa rahisi sana.

Asante
The only way, 100%✓
 
Kwa nia njema mmetoa tangazo la wananchi kutuma ushahidi wa yaliyotokea 29 October, 2025.

Hakuna atakayethunutu kuwatumia taarifa yoyote kwa kuogopa identity yake kujulikana na baada ya hapo wamteke na wamuue.

Kuepusha woga huo, fungua page hapa JF mtapata kila kitu mnachokihitaji na kazi yenu itakuwa rahisi sana.

Asante
sio lazi wala muhimu kutumia JF gentleman :NoGodNo:
 
Ilibidi mseme toa ushahidi kwa mauaji yaliyotokea na sio ushahidi kwa matukio yaliyotokea.

Sawa tume ya CCM.
 
Back
Top Bottom