The only way, 100%✓Kwa nia njema mmetoa tangazo la wananchi kutuma ushahidi wa yaliyotokea 29 October, 2025.
Hakuna atakayethunutu kuwatumia taarifa yoyote kwa kuogopa identity yake kujulikana na baada ya hapo POLISI, TISS, JWTZ wamteke na wamuue.
Kuepusha woga huo, fungua page hapa JF mtapata kila kitu mnachokihitaji na kazi yenu itakuwa rahisi sana.
Asante
FutuhiiiiiNimeshangaa sana!
sio lazi wala muhimu kutumia JF gentlemanKwa nia njema mmetoa tangazo la wananchi kutuma ushahidi wa yaliyotokea 29 October, 2025.
Hakuna atakayethunutu kuwatumia taarifa yoyote kwa kuogopa identity yake kujulikana na baada ya hapo wamteke na wamuue.
Kuepusha woga huo, fungua page hapa JF mtapata kila kitu mnachokihitaji na kazi yenu itakuwa rahisi sana.
Asante