PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed Justice Frederick Mwita Werema as the new Attorney General. He replaces Mr Johnson Mwanyika who is retiring.
The president has also appointed Mr George Mcheche Masaju as the deputy attorney general.
According to a statement issued by the Directorate of Presidential Communications, the appointments took effect yesterday.
Before his appointment, Mr Werema was a judge in the Commercial Division of the High Court of Tanzania. Mr Masaju was Presidential Legal Adviser at the State House.
Mwanakijiji,Something is very wrong or right with this picture. Aidha baraza la mawaziri litavunjwa na Membe kuukwaa U-PM au bungeni kuna mtikisiko unakuja.
Uwezekano wa tatu unanitisha. Ill give it 14 days
Mwanakijiji,
Nakumbuka haya tuliyaongea mapema sana, kashfa zimekuwa nyingi sana... Watu hawa wametuchezea akili sana, it's time for action!
Mkuu YY,Hakuna cha action hapo Invisible, JK anajiandaa na Uchaguzi...sasa ni wakati wa kujisafisha kidogo ili kwenye kuomba kura asiwekewe magogo barabarani.
Iwapo bado kuna wanaotegemea action yoyote ya maana kutoka kwa JK, nawapa pole.
Kujua sheria za mikataba si kigezo pekee cha mtu kuwa Mwanasheria Mkuu. Kuna mambo mengi sana zaidi ya hiloMIMI nasema NAFASI ilipaswa apewe Mwanaidi Maajar ana uwezo wa sheria za mikataba ya madini n.k huko ndiko tunakolizwa. Huyu mheshimiwa hana kiwango kizuri.