Jaji Frederick Mwita Werema ateuliwa Mwanasheria Mkuu wa serikali

Jaji Frederick Mwita Werema ateuliwa Mwanasheria Mkuu wa serikali

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..anachukua nafasi ya Johnson Mwanyika.

PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed Justice Frederick Mwita Werema as the new Attorney General. He replaces Mr Johnson Mwanyika who is retiring.

The president has also appointed Mr George Mcheche Masaju as the deputy attorney general.

According to a statement issued by the Directorate of Presidential Communications, the appointments took effect yesterday.

Before his appointment, Mr Werema was a judge in the Commercial Division of the High Court of Tanzania. Mr Masaju was Presidential Legal Adviser at the State House.
 
Nadhani tujikite kwenye masuala kama walioteuliwa wanafaa ama hawafai kushika nafasi hizo na kwa nini>

Nijuavyo Werema alikuwa Mkurugenzi wa haki za binadamu wizara ya sheria kwa muda mrefu, Jaji wa SADEC kabla ya kuteuliwa Jaji hapa nyumbani na hata hakuwa mwanamtandao hivyo ni wazi ni mzoefu na pia sio mshikaji wa JK. Kuhusu misimamo yeke hapo sina uhakika kama atakuwa mtetezi mzuri wa maslahi ya watanzania ama watawala maana hiyo ndiyo mipaka ya kazi yake.

omarilyas
 
kwaajili ni jaji tu hope atafwata misingi ya sheria na katiba
 
Rais anapangua wasaidizi wake kutoka Ikulu na kuwaweka katika mawizara. Kuna nini? Maana Jairo, Husu anayekuwa DAG. Kabla ya hapo kamuhanda, Dr. Mpango nk. Kuna nini?
 
Wenye kumfahamu AG mpya mhe. WEREMA twaomba basi mtuletee wasifu wake hapa,tuanze kukata issues/kumjadili
 
Sheria ni zilezile, majukumu ya AG ni yaleyale, bosi wake ni yuleyule, hamna jipya. Do not get excited people.
 
Something is very wrong or right with this picture. Aidha baraza la mawaziri litavunjwa na Membe kuukwaa U-PM au bungeni kuna mtikisiko unakuja.

Uwezekano wa tatu unanitisha. Ill give it 14 days
 
Aaaah mwenzenu hapa namsikiliza msanii Kiba na kibao chake kipya.. JISOGEZE!
mnataka link?
 
MMKJJ
Ni bora usingesema...........

Bob...tuwekee hiyo link Mkuu..............
 
hongera na kula kwa nafasi yako lakini usiingie mkataba feki sawa mheshimiwa
 
Something is very wrong or right with this picture. Aidha baraza la mawaziri litavunjwa na Membe kuukwaa U-PM au bungeni kuna mtikisiko unakuja.

Uwezekano wa tatu unanitisha. Ill give it 14 days
Mwanakijiji,

Nakumbuka haya tuliyaongea mapema sana, kashfa zimekuwa nyingi sana... Watu hawa wametuchezea akili sana, it's time for action!
 
Asante sana kwa kuondoa wale walioenda off topic na kuleta udini humu ndani, Tumekuwa watu wazima atleast kuelimika lakini hata wa kumsaidia wa kijijini hakuna?

Well jaji Werema kama wengine anachotakiwa ni kufuata sheria na miongozo, awe mkali kwa mafisadi haswa wanaojidai wawekezaji na kupewa mikataba feki, pia arekebishe mikataba ambayo ni feki tayari, apime je kuvunja mkataba na kulipa hela au kuuenndleza ni kipi kinalipa? Just mathematics, tena afanye mapema kabla hawajamzoea na kumsoma hawa mafisadi!!
 
haaa uwiiiiiiiiimamaaaaaaaaahha
tanzaniaaaaaaaaa,nmhihaaaaaaaahihihiiiiiiiii
 
Mwanakijiji,

Nakumbuka haya tuliyaongea mapema sana, kashfa zimekuwa nyingi sana... Watu hawa wametuchezea akili sana, it's time for action!

Hakuna cha action hapo Invisible, JK anajiandaa na Uchaguzi...sasa ni wakati wa kujisafisha kidogo ili kwenye kuomba kura asiwekewe magogo barabarani.

Iwapo bado kuna wanaotegemea action yoyote ya maana kutoka kwa JK, nawapa pole.
 
Bwana MUNGU asipolinda mji wao waulindao wafanya kazi bure...
 
Mwana kijiji,invis mambo mengi yanakuja msiache kusali
 
MIMI nasema NAFASI ilipaswa apewe Mwanaidi Maajar ana uwezo wa sheria za mikataba ya madini n.k huko ndiko tunakolizwa. Huyu mheshimiwa hana kiwango kizuri.
 
Hakuna cha action hapo Invisible, JK anajiandaa na Uchaguzi...sasa ni wakati wa kujisafisha kidogo ili kwenye kuomba kura asiwekewe magogo barabarani.

Iwapo bado kuna wanaotegemea action yoyote ya maana kutoka kwa JK, nawapa pole.
Mkuu YY,

Si action toka kwa JK mkuu wangu...
 
MIMI nasema NAFASI ilipaswa apewe Mwanaidi Maajar ana uwezo wa sheria za mikataba ya madini n.k huko ndiko tunakolizwa. Huyu mheshimiwa hana kiwango kizuri.
Kujua sheria za mikataba si kigezo pekee cha mtu kuwa Mwanasheria Mkuu. Kuna mambo mengi sana zaidi ya hilo
 
Back
Top Bottom