Jaji,hakimu na wakili

Mambaenock

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
427
Reaction score
107
Wana jf naomba kujua tofauti ya jaji,hakimu na wakili na majukumu yao.
 
Mshahara wa mwezi mmoja severancy pay only if umefanya kazi mwaka, certificate of service na kama hukwenda likizo akulipe na likizo zako yani siku 12 kila mwez siku 2 so kwa miez sita siku 12 mara mshahara wako kwa siku....
Je ulikua na mkataba? Na unasemaje kuhusu termination?? Kama hataki muonyeshe labour law na mwandikie malalamiko yako officially email or barua then uendelee na process nyingne za kisheria

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
????????????????????????????
 

bange*3 ilisababisha ale "vima"
 
Wana jf naomba kujua tofauti ya jaji,hakimu na wakili na majukumu yao.
Utajibiwa tu mkuu,subiri wajuvi wanakuja,vichaa wapo kila mahali siku hizi!! Sasa huyo jirani yako hapo ndiyo alikuwa anakupa historia ya sheria au?
 
Wana jf naomba kujua tofauti ya jaji,hakimu na wakili na majukumu yao.

Mkuu hivi uko serious kabisa unauliza au unatania? anyway: Tofauti ni hivi: Jaji ni mtu anayesikiliza kesi na kuitolea uamuzi/hukumu baina ya mshitaki na anayeshitakiwa katika ngazi ya mahakama kuu pamoja na mahakama ya rufaa. Hakimu naye husikiliza kesi na kutolea maamuzi/hukumu katika ngazi ya mahakama ya mwanzo, mahakama ya wilaya na mahakama ya hakimu mkazi. Wakili-huyu ni mtu anayemwakilisha mshitaki/mshitakiwa, kuna sifa za kuwa wakili hadi uwe nazo ndo uweze kumwakilisha mshitaki/mshitakiwa, anasimama mahakamani kwa ajili ya kumtetea mshitaki/mshitakiwa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…