Mambaenock
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 427
- 107
Wana jf naomba kujua tofauti ya jaji,hakimu na wakili na majukumu yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
????????????????????????????Mshahara wa mwezi mmoja severancy pay only if umefanya kazi mwaka, certificate of service na kama hukwenda likizo akulipe na likizo zako yani siku 12 kila mwez siku 2 so kwa miez sita siku 12 mara mshahara wako kwa siku....
Je ulikua na mkataba? Na unasemaje kuhusu termination?? Kama hataki muonyeshe labour law na mwandikie malalamiko yako officially email or barua then uendelee na process nyingne za kisheria
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mshahara wa mwezi mmoja severancy pay only if umefanya kazi mwaka, certificate of service na kama hukwenda likizo akulipe na likizo zako yani siku 12 kila mwez siku 2 so kwa miez sita siku 12 mara mshahara wako kwa siku....
Je ulikua na mkataba? Na unasemaje kuhusu termination?? Kama hataki muonyeshe labour law na mwandikie malalamiko yako officially email or barua then uendelee na process nyingne za kisheria
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Utajibiwa tu mkuu,subiri wajuvi wanakuja,vichaa wapo kila mahali siku hizi!! Sasa huyo jirani yako hapo ndiyo alikuwa anakupa historia ya sheria au?Wana jf naomba kujua tofauti ya jaji,hakimu na wakili na majukumu yao.
Utajibiwa tu mkuu,subiri wajuvi wanakuja,vichaa wapo kila mahali siku hizi!! Sasa huyo jirani yako hapo ndiyo alikuwa anakupa historia ya sheria au?
Wana jf naomba kujua tofauti ya jaji,hakimu na wakili na majukumu yao.
Mkuu hivi uko serious kabisa unauliza au unatania? anyway: Tofauti ni hivi: Jaji ni mtu anayesikiliza kesi na kuitolea uamuzi/hukumu baina ya mshitaki na anayeshitakiwa katika ngazi ya mahakama kuu pamoja na mahakama ya rufaa. Hakimu naye husikiliza kesi na kutolea maamuzi/hukumu katika ngazi ya mahakama ya mwanzo, mahakama ya wilaya na mahakama ya hakimu mkazi. Wakili-huyu ni mtu anayemwakilisha mshitaki/mshitakiwa, kuna sifa za kuwa wakili hadi uwe nazo ndo uweze kumwakilisha mshita
asante sana kwa ufafanuzi wako mzuri