TANZIA Jaji John Utamwa afariki Dunia

Kitu kinachoitwa karma ni kitu vibaya sana!, karma haina Mswalie Mtume!.
Ni kweli Jaji huyu aliiendesha kesi ya Zitto, na Zitto akashindwa kwa legal technicalities za a defective plant.
  1. Zitto, Prof. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba, waliandaa wanaka wa mabadiliko wa kuunda kitu kinachoitwa "a winning coalition", ili team hiyo ishide uongozi wa Chadema.
  2. Wakiwa kwenye kikao cha CC Arusha, Mwigamba akawa ana leak info za kikao na kupost JF.
  3. Yule Chalii wa Arachuga, akamdukua na kumdakua, akampokonya ngamizi mpakato na kumshushia kipigo cha mbwa mwizi.
  4. Kwenye ngamizi hiyo ndio wakaukuta huo waraka wa mabadiliko with coded names, waka decode na kuitisha ile CC kangaroo court yao na kuwatimua wote watatu.
  5. Kwa mujibu wa katiba ya Chadema, Zitto ambaye ni NKM, mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu na rufaa ni mikutano mkuu!, CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka kumtimua Zitto, mwisho wa uwezo wa CC ni kunsimamisha tuu na kumpatia mashitaka take kwa maandishi, kisha unaitisha mamlaka yake ya nidhamu!. Huku kutimuana kikangaroo kuna I cost sana Chadema, na sio kuwa hawakuambiwa... Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!", wote waliohusika na kadhia hii, karma iliwashughikia!.
  6. Chadema hawakomi!, the same same scenario inajirudia kwa Halima Mdee, huyu ni Mwenyekiti wa Bawacha, mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, CC ya Chadema imepata wapi mamlaka kumfuta uanachama?.
  7. There was an excuse ya ukata kushindwa kuitisha kikao cha Baraza Kuu!, Mungu si Athumani, mara Mungu bariki, nanii kawapa pesa za kuitisha Baraza Kuu, ambayo ndio mamlaka halali ya nidhamu ya Halima!, kwanini shauri hili halikupelekwa?.
  8. Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
Tutende haki jameni, karma is real na kifo cha karma, kipo!.


RIP Jaji Utamwa!.

P
 
R.I.P
 
Kwani CCM hamtaki watu wazuri? kaa nao huko huko
 
Una kinyongo sana wewe mwanamke
 

Hawa majaji siwapend acha wafe tu! Majaji wanakula rushwa majaji wengi wapuuzi sana kama kuna majaji wazuri mi sijui lakini naona majaji wote jinga sana!
Akafie mbele huko na kama kweli kuna moto akachomwe tu mxiyuuuu
 
Asante mkuu
 
Hadi leo bado unalia Zitto kutimuliwa Chadema , Aiseee !!! Nimeamini ule Mkakati wa JK ulikuwa na msululu mrefu sana ! miongoni mwao walikuwemo waandishi wa bahasha za khaki ! unaambiwa hata walinzi wa Riziwan ndio walikuwa pia walinzi wa Zitto , Hakika Chadema ina nguvu sana , maana iliishinda serikali na mamluki kibao yaani !!
 
Lakini Zitto alikuwa na tuhuma nyingine za kushirikiana na serikali kukihujumu chama.

Kwa Zitto siwalaumu CDM, jamaa ni mtu wa kutumika. Unfortunately hata mwenyekiti wa sasa anatia wasiwasi.
 
Hadi leo bado unalia Zitto kutimuliwa Chadema , Aiseee !!!
Silii na Zitto kutimuliwa Chadema, mimi ni mpenda haki, ila pia ni mtu mwenye huruma sana, naumia jinsi Chadema inavyowatenda visivyo wanachama wake!, angalia nilianza lini Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!", nikaja Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015! nikaja la Kafulila, la Zitto, na hili la kina Mdee!. Ni bahati mbaya sana no one in Chadema keeps tracks ya nani amefanya nini kitakacho msababishia a bad karma, na nini kinakuja kumtokea!, I do!. Hivyo naihurumia sana Chadema for suffering the consequences of it's own silly mistakes!
Nimeamini ule Mkakati wa JK ulikuwa na msululu mrefu sana ! miongoni mwao walikuwemo waandishi wa bahasha za khaki !
Ni kweli enzi nikiwa mwandishi wa newsroom, hizo bahasha, nimezikunja sana na hata humu nimelitoa hili somo, Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa, kuanzia 2003 mpaka leo 2023, ni miaka 20 ya Uandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea!, hivyo sipokei bahasha!.
unaambiwa hata walinzi wa Riziwan ndio walikuwa pia walinzi wa Zitto ,
Duh!, hili sikuwahi kulijua!, kumbe watoto wa rais siku hizi wana walinzi!. Riz nimesoma nae UDSM dingi wake akiwa rais wa JMT, sikuwahi muona ana ulinzi!. Zitto ndio kabisa tuna kuwa nae mpaka usiku wa manene viwanjani, kama hapa Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma, sijawahi muona na ulinzi !.
Hakika Chadema ina nguvu sana , maana iliishinda serikali na mamluki kibao yaani !!
Kwenye hili, nakukubalia, tena ile 2015 Chadema ndio ilishida uchaguzi ule ukafanyika udhalimu, ikapokwa Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!
P
 
Lakini Zitto alikuwa na tuhuma nyingine za kushirikiana na serikali kukihujumu chama.

Kwa Zitto siwalaumu CDM, jamaa ni mtu wa kutumika. Unfortunately hata mwenyekiti wa sasa anatia wasiwasi.
Mkuu Mzalendo Uchwara , serikali is a very powerful thing, ikimhitaji mtu yoyote, inampata, mzalendo yoyote wa kweli wa taifa hili, ni lazima awe mkweli toka ndani ya nafasi yake na kwa taifa lake, hivyo ana wajibu wa kushirikiana na serikali kuhakikisha nchi ni salama, amani, utulivu na ustawi, akibaini hapo alipo, kuna mambo ya uhalifu yanapangwa, akiyanyamazia, yeye anakuwa ni accessory before the fact or after the fact. Tena hii movie ya ugaidi wa Chadema kupanga vitendo vya uhalifu kudhuru watu, the expozee ilianzia humu humu jf na aliye iibus hiyo expozee is none other than mwana JF huyu On Star TV: Zitto, Nchemba na Mtatiro ktk mjadala wa kutathmini ya Siasa Tanzania 2012, na kwa taarifa yako wala sio Zitto tuu!, CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind? na vingine VIP na hata nanilii naye pia!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…