Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Nonda,
Hawako hapa kuficha double standards wako kazini kuchafua kila abdul...ndio JF
Ni Kilele cha UADILIFU.
TANGU UHURU HAKUWAHI KUCHAGULIWA MUISLAM KUWA CJ.
kikwete ndiyo anachochea udini angalia sasa raisi makamu wake waziri wa ulinzi,mambo ya ndani,waziri wa fedha watu wote wa dini moja aoni aibu
Ni vizuri mkawasoma kwa makini wachangiaji wanaoweka mambo ya dini kwenye huu uteuzi. Habari za "ndani" ni kwamba wanafanya hivyo kwa malengo maalumu. Wanajifanya ni "wakristo" waliokasirishwa na huu uteuzi kwa kuwa wanahisi una udini ndani yake lakini siyo kweli. NI watu maalumu wanaofanya kazi maalumu kwa malengo maalumu.Kila muislamu hapa JF ni fisadi, ndugu yake JK hajasoma hajui kitu and yet people claim in this forum they are great thinker. Kuna baadhi ya member michango yao haina maana kabisa wala kichwa wala miguu. Tuwe tunaangalia nje ya box ili nchi yetu iendelee badala kukaa mkalalama tu anapoteuliwa muislamu mahali. Tuweni wazalendo jamani!!!
Oic ,kadhi, zimenukia .dah udini utaiangamiza nchi .mahakama ,bunge kwisha kazi.
Hivi cheo cha Primi Kabanga ni sahihi hapo kweli(blu) au angetakiwa awe Mwandishi Msaidizi
wa Habari wa Rais maana yake hapo kwenye blue ni kama vile yeye ni mwandishi wa habari wa msaidizi wa Rais (makamu wa Rais?) wataalamu wa lugha karibuni
Usihofu kwani kama unavyosema nyie ni wale wale kwenye mambo yaleyale.Yale yale ya wale wale....msini-quote vibaya!!
Anna kilango Malecela? Samuel MalecelaDuh, huyu Chief Justice mpya ni mdogo wake mkuu wa usalama wa taifa, yaani director general of the Tanzania Intelligence and Security Services (TISS), Rashid Othman. Katika vetting ya Chief Justice huwa mkuu wa TISS anahusishwa kwa karibu kupitisha majina.
Hii ina maana kuwa Othman wa TISS kampigia chapuo mdogo wake kuwa Chief Justice mpya! It's very possible candidates wengine wa post hii walichafuliwa makusudi ili dogo apite.
Tutarajie nini kuhusu maamuzi sensitive ya mahakama kuhusu katiba mpya, mgombea binafsi, na mengine ambayo yatawagusa watawala kwa karibu. It's obvious kuwa usalama wa taifa ndiyo itakuwa inaiendesha mahakama ya Tanzania. Othman wa TISS atakuwa anatoa maagizo tu kwa dogo wake Othman Chief Justice.
"Dogo hiyo kazi ya Chief Justice si nimekupigia chapuo mimi, sasa nimeshauriana na Rais na uamuzi wa mahakama ya rufaa kwenye kesi hii uwe hivi...."
Kazi ipo hapa... TISS itakuwa inaiendesha mahakama ya Tanzania mpaka mwaka 2017 ambapo Othman atakuwa amefikia umri wa kisheria wa kustaafu.
tatizo siyo mteuliwa bali ni vigezo vipi vimetumika katika uteuzi huu..wapi bunge?................wapi kamisheni ya sheria?
uwazi haupo na ndiyo maana teuzi zote za JK tunazitilia shaka.................................lakini utamu wa haya yote ni kuwa JK is on his way out....................................hana jipya wala siye mpenda mabadiliko wa jinsi nchi inavyoongozwa..............what a shame upon his soul.........................
Wakati alipocchaguliwa A. Ramadhani hukujua hili? Mbona ulifunga mdomo wako? Kwako Dini ni Uislamu tu? Hebu tuambieni Ukiristo si dini? Mbona wanachaguliwa kila siku na hamuiti udini?Uteuzi huu una harafu kali ya udini....alipomteua justice Ramadhan alijua ni mzee na hata kaa sana......sasa huyu ni kijana atakaa miaka 7..........au kwa lugha nyingine atamzidi JK kwa miaka miwili................................
lengo ni kuhakikisha mapingamizi dhidi ya sheria mpya ya mahakama ya kadhi yanatupiliwa mbali chini ya uongozi wa Chief Justice Othmani.............again JK is simply disgusting..............................
Mpaka sasa mimi sijaona mgongano wa kimaslahi ulio moja kwa moja. Endapo ikatokea hapo mbeleni kukawa na shauri linalowahusisha wote wawili kwa ukaribu basi jaji Chande atatakuwa kuji-recuse kutoka kwenye hilo shauri ili kuepuka huo mgongano wa kimaslahi.
Kwa hiyo mimi hadi hivi sasa ningependa kujua zaidi judicial philosophy yake na opinion alizokwisha andika. Kuna anayejua hayo?
Anna kilango Malecela? Samuel Malecela
Magaret Sitta ? Samuel Stta
Makongoro Nyerere
Dr Mwinyi
January Makamba
Wengine wanaweza kujazwa hapa na sioni tatizo kama uonavyo wewe kwani sifikiri kuwa ilipangwa hii hapo walipoamuwa kwenda shule!
Mfamaji yeye ni mpagani hna ataendelea hadi kufa kwake kwani inaonyesha kuwa wengi wanahisi Uislamu tu ndio udini na dini nyengine ni upagani.Mkwere mdini na atuendleza forever
Hivi hili suala la conflict of interests wewe halikutishi???????
Hivyo Katiba hutungwa na Mahakama? Mambo mengine yanakupofueni.Maandalizi ya Mahakama za Kadhi na OIC na hatimaye kuifanya Tanzania kuwa kama Sudan, Nigeria au hata Somalia!
Hata Poland ilishatokea mapacha mmoja Rais mwingine waziri mkuu na mambo yakaenda.
Ila katika hili Director wa TISS alipaswa kukaa kando na assistant wake akachampion ili kuondoa dhana ya upendeleo kwenye kuassess hao candidates