Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

Nonda,

Hawako hapa kuficha double standards wako kazini kuchafua kila abdul...ndio JF

Kila muislamu hapa JF ni fisadi, ndugu yake JK hajasoma hajui kitu and yet people claim in this forum they are great thinker. Kuna baadhi ya member michango yao haina maana kabisa wala kichwa wala miguu. Tuwe tunaangalia nje ya box ili nchi yetu iendelee badala kukaa mkalalama tu anapoteuliwa muislamu mahali. Tuweni wazalendo jamani!!!
 
Ni Kilele cha UADILIFU.
TANGU UHURU HAKUWAHI KUCHAGULIWA MUISLAM KUWA CJ.

Ndio maana nikauliza ninavyofahamu mie rekodi zangu hapajapata muislamu kushika hii nafasi hamuoni kwamba JK amefanya kitu kizuri na chakiuzalendo? Kama mnavyomsifia JK kumteua Anna Makinda na huyu nae anadeserve credit for that!! Nawakilisha tu
 
Kila muislamu hapa JF ni fisadi, ndugu yake JK hajasoma hajui kitu and yet people claim in this forum they are great thinker. Kuna baadhi ya member michango yao haina maana kabisa wala kichwa wala miguu. Tuwe tunaangalia nje ya box ili nchi yetu iendelee badala kukaa mkalalama tu anapoteuliwa muislamu mahali. Tuweni wazalendo jamani!!!
Ni vizuri mkawasoma kwa makini wachangiaji wanaoweka mambo ya dini kwenye huu uteuzi. Habari za "ndani" ni kwamba wanafanya hivyo kwa malengo maalumu. Wanajifanya ni "wakristo" waliokasirishwa na huu uteuzi kwa kuwa wanahisi una udini ndani yake lakini siyo kweli. NI watu maalumu wanaofanya kazi maalumu kwa malengo maalumu.
 
Hivi cheo cha Primi Kabanga ni sahihi hapo kweli(blu) au angetakiwa awe Mwandishi Msaidizi
wa Habari wa Rais
maana yake hapo kwenye blue ni kama vile yeye ni mwandishi wa habari wa msaidizi wa Rais (makamu wa Rais?) wataalamu wa lugha karibuni

nimekupa thanks kwa kuwa nilikuwa na querrel kama hii...though sio mtalaam wa kiswahili lakini haijakaa sawa.
 
Nilichokiona hapo, na kwa kupitia post moja iliyowekwa hapa jamvini mwaka 2007 wakati Agustino akichaguliwa ni kuwa Jaji Othumani alikuwa ni potential CJ wakati ule 2007 ila kuchaguliwa kwa Augustino kulichangiwa sana na kazi yake "nzuri" kwenye tume za uchaguzi..........kwa maana hiyo baada ya kustaafu kwa Augustino, Jani Othumani ana kuwa the "best" choice on table..........haya mabo ya dini waliyoyaanzisha CCM ndio yanatufanya hadi leo hii mtu akichaguliwa watu waanze kuulizia dini yake...............mjadala wa mahakama ya kadhi unapaswa kujadiliwa sambamba na mabadiliko ya katiba
 
Duh, huyu Chief Justice mpya ni mdogo wake mkuu wa usalama wa taifa, yaani director general of the Tanzania Intelligence and Security Services (TISS), Rashid Othman. Katika vetting ya Chief Justice huwa mkuu wa TISS anahusishwa kwa karibu kupitisha majina.

Hii ina maana kuwa Othman wa TISS kampigia chapuo mdogo wake kuwa Chief Justice mpya! It's very possible candidates wengine wa post hii walichafuliwa makusudi ili dogo apite.

Tutarajie nini kuhusu maamuzi sensitive ya mahakama kuhusu katiba mpya, mgombea binafsi, na mengine ambayo yatawagusa watawala kwa karibu. It's obvious kuwa usalama wa taifa ndiyo itakuwa inaiendesha mahakama ya Tanzania. Othman wa TISS atakuwa anatoa maagizo tu kwa dogo wake Othman Chief Justice.

"Dogo hiyo kazi ya Chief Justice si nimekupigia chapuo mimi, sasa nimeshauriana na Rais na uamuzi wa mahakama ya rufaa kwenye kesi hii uwe hivi...."

Kazi ipo hapa... TISS itakuwa inaiendesha mahakama ya Tanzania mpaka mwaka 2017 ambapo Othman atakuwa amefikia umri wa kisheria wa kustaafu.
Anna kilango Malecela? Samuel Malecela

Magaret Sitta ? Samuel Stta

Makongoro Nyerere

Dr Mwinyi
January Makamba

Wengine wanaweza kujazwa hapa na sioni tatizo kama uonavyo wewe kwani sifikiri kuwa ilipangwa hii hapo walipoamuwa kwenda shule!
 
tatizo siyo mteuliwa bali ni vigezo vipi vimetumika katika uteuzi huu..wapi bunge?................wapi kamisheni ya sheria?

uwazi haupo na ndiyo maana teuzi zote za JK tunazitilia shaka.................................lakini utamu wa haya yote ni kuwa JK is on his way out....................................hana jipya wala siye mpenda mabadiliko wa jinsi nchi inavyoongozwa..............what a shame upon his soul.........................

Unajua unatia kichefuchefu! Hii Tanzania imeanza 2005 alipochaguliwa Kikwete? Huko nyuma ulishirikishwa wewe au mzazi wako bwana mdogo katika chaguzi kama hizi?
 
Uteuzi huu una harafu kali ya udini....alipomteua justice Ramadhan alijua ni mzee na hata kaa sana......sasa huyu ni kijana atakaa miaka 7..........au kwa lugha nyingine atamzidi JK kwa miaka miwili................................

lengo ni kuhakikisha mapingamizi dhidi ya sheria mpya ya mahakama ya kadhi yanatupiliwa mbali chini ya uongozi wa Chief Justice Othmani.............again JK is simply disgusting..............................
Wakati alipocchaguliwa A. Ramadhani hukujua hili? Mbona ulifunga mdomo wako? Kwako Dini ni Uislamu tu? Hebu tuambieni Ukiristo si dini? Mbona wanachaguliwa kila siku na hamuiti udini?
 
Mpaka sasa mimi sijaona mgongano wa kimaslahi ulio moja kwa moja. Endapo ikatokea hapo mbeleni kukawa na shauri linalowahusisha wote wawili kwa ukaribu basi jaji Chande atatakuwa kuji-recuse kutoka kwenye hilo shauri ili kuepuka huo mgongano wa kimaslahi.

Kwa hiyo mimi hadi hivi sasa ningependa kujua zaidi judicial philosophy yake na opinion alizokwisha andika. Kuna anayejua hayo?

kwa nafasi yake mkuu wa TISS anahusika moja kwa moja kwenye mchakato wa kumpata CJ.
 
Anna kilango Malecela? Samuel Malecela

Magaret Sitta ? Samuel Stta

Makongoro Nyerere

Dr Mwinyi
January Makamba

Wengine wanaweza kujazwa hapa na sioni tatizo kama uonavyo wewe kwani sifikiri kuwa ilipangwa hii hapo walipoamuwa kwenda shule!

Hata Poland ilishatokea mapacha mmoja Rais mwingine waziri mkuu na mambo yakaenda.
Ila katika hili Director wa TISS alipaswa kukaa kando na assistant wake akachampion ili kuondoa dhana ya upendeleo kwenye kuassess hao candidates
 
Hongera Chande, kwanza nakupa hongera kama swahib yako, pili nakupa hongera kama mtoto wa mjini Dar. Ntakuja nyumbani kukuletea hongera zangu za dhati, waambie hao maaskari mzee Dar akija wasimletee taabu getini!
 
JMK, unajuwa kweli kuwapandisha presha hawa jamaa, ndio wanavyotaka hivyo, maana wakati wa Mkapa alifikia kusema kuwa sisi ni mambumbumbu, waonyeshe kuwa mmoja wetu sawa na elfu wao.
 
Hata Poland ilishatokea mapacha mmoja Rais mwingine waziri mkuu na mambo yakaenda.
Ila katika hili Director wa TISS alipaswa kukaa kando na assistant wake akachampion ili kuondoa dhana ya upendeleo kwenye kuassess hao candidates

Mkuu kipengele cha CJ hakijazungumza kama kukiwa na ndugu wawili basi DG wa TISS akae pembeni kupisha mtu mwengine afanye mchakato. Na pia kazi DG wa TISS ni kumshauri Rais katika masuala kama haya na Chief Justice ni maswala nyeti unadhani ni busara yeye akawa hayupo. Ikija kutokea akachaguliwa mtu bomu whom do you think atakuwa accountable?
 
Back
Top Bottom