Jaji Makaramba atajwa kuandaa kesi ya Zitto.

Status
Not open for further replies.

kelao

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
8,132
Reaction score
5,800
Nimenukuu kutoka mtandao wa -----------forum: "Taarifa zilizotufikia kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chadema zinasema,Jaji Robert Makaramba ndiye aliyeandaa kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya baraza la wadhamini na katibu mkuu wa Chadema.Hayo yalipatikana katika mawasiliano yaliyonaswa kati ya wakili Albart Msando anayemtetea Zitto na Jaji Makaramba.kwa mujibu wa taarifa hiyo hata usikilizwaji wa kesi hii umekuwa wa kasi kutokana na hatua hiyo ya Jaji kuwa mshiriki wa mdai na serikali kuwa nyuma ya kesi hiyo" TAFAKARINI
 

moderator potezea hii post kumtuhumu jaji kwa ushahidi hewa akilivalia njuga kwa kushushiwa hadhi jamii forum inaweza pata matatizo
 
alivyoshinda lema Arusha mkasema jaji ametenda Haki mkishindwa Jaji amependelea,Naona mmeanza kurusharusha miguu soon mtakata roho.
 
toeni umbea wenu mmeziki kusingizia watu kunasiku mtajisahau na kumsingizia hata mungu kuwa amewaacha peke yenu.
 
Tanzania haina mahakama..ni upuuzi mtupu.m
 
Kama CHADEMA walilijua hilo mapema, walichukua hatua gani?
 
Nampongeza kijana Albert Msando kwa kuwagaragaza wazee wa CHADEMA ACADEMIA. Endelea kuomba ushauri kutoka kwa watu weledi na si kusikiliza mihemko ya akina Mbowe na Mtei
 
Tanzania haina mahakama..ni upuuzi mtupu.m
Pole sana. Ila mliposhinda kesi zenu mlipongeza na kusifi uwezo wa mahakama. Au umesahau ule usemi kuwa Sheria ni Msumeno? Au ulikuwa unaimba tu shuleni?
 
Kumbe zinatoka Chadema propaganda,ebu tuondelee huu upuuzi
 
alivyoshinda lema Arusha mkasema jaji ametenda Haki mkishindwa Jaji amependelea,Naona mmeanza kurusharusha miguu soon mtakata roho.

Kaka elewa alichosema,hajasema jaji kapendelea,amesema jaji aliiandaa hiyo kesi na serikali ikiwemo,usiwe mbulula hivyo
 
Lakini hii tabia chadema inakomaa,ya kutoamini mamlaka halali za dola
Mara ngapi tumeshinda kesi zetu tena zenye interest moja kwa moja na serikali?kesi ya lema,Tindu lissu,kilewo etc etc
Halafu mods mtaachaje habari ambayo haina credible/reliable source?
Huu ni mwendelezo tu wa propaganda-kesi kama ile hata wakili wa darasa la saba anashinda kila kitu kiko wazi zzk kaonewa
"You cannot jail and then listen him"-Albert Msando
 
alivyoshinda lema Arusha mkasema jaji ametenda Haki mkishindwa Jaji amependelea,Naona mmeanza kurusharusha miguu soon mtakata roho.

jambo la msingi ni kuangalia kama haki imetendeka,wamesahau kuwa sheria ni msumeno.
 
Please tuondoleeni huo uchafu walioutoa kwenye udaku forum

Ebu ilindeni heshima ya JF
 
Hao majaji ni miungu? kwanini wasijadiliwe? mbona unaweza kuletwa uzushi tu hapa juu ya JK na ukajadiliwa?

moderator potezea hii post kumtuhumu jaji kwa ushahidi hewa akilivalia njuga kwa kushushiwa hadhi jamii forum inaweza pata matatizo
 
Tanzania haina mahakama..ni upuuzi mtupu.m

Ndio maana Watu wameamua kuyamaliza wenyewe huku mtaani, Vibaka wanachomwa moto, Wakulima na Wafugaji, wanasuluhisha matatizo yao wenyewe kupitia silaha za jadi, kule Mwanza, wenye akili zao walipougundua upuzi huo Wakamalizana wenyewe na Mabina wao. Na huko ndiko tunakoelekea. Tutazowea tu.
Huyu Jamaa akiwa lecturer pale mlimani sifa yake kubwa ilikuwa ni kutoa marks za chup**. Alikuwa anashindana na wanafunzi Hall 3 na Hall 7 kuwagombea akina Risper.
 
---- forum do nini mod acheni ujinga kwani mwana.halisiiforum ni tusi acheni ushamba iv Google wakazuia neno Facebook au jamiiforuns au Twitter wakazuia Facebook acheni wifu wakijinga .
Sijui kwanini wanakuwa na wivu
 
pamoja na yote nitakuwa wa mwisho kuamini hili tena baada ya kushawishiwa kwa hoja na ushahidi kamili
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…