kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,800
Nimenukuu kutoka mtandao wa -----------forum: "Taarifa zilizotufikia kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chadema zinasema,Jaji Robert Makaramba ndiye aliyeandaa kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya baraza la wadhamini na katibu mkuu wa Chadema.Hayo yalipatikana katika mawasiliano yaliyonaswa kati ya wakili Albart Msando anayemtetea Zitto na Jaji Makaramba.kwa mujibu wa taarifa hiyo hata usikilizwaji wa kesi hii umekuwa wa kasi kutokana na hatua hiyo ya Jaji kuwa mshiriki wa mdai na serikali kuwa nyuma ya kesi hiyo" TAFAKARINI