Chadema tunakera muda mwingine. Tumeshinda kesi ya lema, ugaidi wa lwakatare na kilewo, mbona huko hatukusema hayo? Tukubali kushinda na kushindwa!
alivyoshinda lema Arusha mkasema jaji ametenda Haki mkishindwa Jaji amependelea,Naona mmeanza kurusharusha miguu soon mtakata roho.
Nampongeza kijana Albert Msando kwa kuwagaragaza wazee wa CHADEMA ACADEMIA. Endelea kuomba ushauri kutoka kwa watu weledi na si kusikiliza mihemko ya akina Mbowe na Mtei
Nimenukuu kutoka mtandao wa -----------forum: "Taarifa zilizotufikia kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chadema zinasema,Jaji Robert Makaramba ndiye aliyeandaa kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya baraza la wadhamini na katibu mkuu wa Chadema.Hayo yalipatikana katika mawasiliano yaliyonaswa kati ya wakili Albart Msando anayemtetea Zitto na Jaji Makaramba.kwa mujibu wa taarifa hiyo hata usikilizwaji wa kesi hii umekuwa wa kasi kutokana na hatua hiyo ya Jaji kuwa mshiriki wa mdai na serikali kuwa nyuma ya kesi hiyo" TAFAKARINI
jaji ataaandaje kesi ya Zitto?
makaramba sio jaji incharge wa mahakama kuu, yeye yupp kitengo cha biashara
Kesi ya msingi haijamalizika, Makaramba sie anampangia jaji Utamwa File
wala hakuna utaratibu wa majaji kuandaa kesi mahakamani ndio kwanza nasikia kutoka kwako..
uliwaza kwanza kabla hujapost huu upuzi wako? elimu yako ni form gani ndugu?
acha kujiabisha. uamuzi wa jana ni wa kawaida na nlitegemea hivo kuwa kamati kuu ya chadema hawakupaswa kumjadili Zito kama kuna rufaa baraza kuu, na baraza kuu linaundwa pia na hiyo kamati kuu..
kadhalika wewe ulichokiandika ni uchochozi mtupu.unastahili kuogopeka kama ukoma na jamii nzima.sidhani kama umekielewa kilichoandikwa hapa,soma upya halafu urudi tena!
Nimenukuu kutoka mtandao wa -----------forum: "Taarifa zilizotufikia kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chadema zinasema,Jaji Robert Makaramba ndiye aliyeandaa kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya baraza la wadhamini na katibu mkuu wa Chadema.Hayo yalipatikana katika mawasiliano yaliyonaswa kati ya wakili Albart Msando anayemtetea Zitto na Jaji Makaramba.kwa mujibu wa taarifa hiyo hata usikilizwaji wa kesi hii umekuwa wa kasi kutokana na hatua hiyo ya Jaji kuwa mshiriki wa mdai na serikali kuwa nyuma ya kesi hiyo" TAFAKARINI
Lakini hii tabia chadema inakomaa,ya kutoamini mamlaka halali za dola
Mara ngapi tumeshinda kesi zetu tena zenye interest moja kwa moja na serikali?kesi ya lema,Tindu lissu,kilewo etc etc
Halafu mods mtaachaje habari ambayo haina credible/reliable source?
Huu ni mwendelezo tu wa propaganda-kesi kama ile hata wakili wa darasa la saba anashinda kila kitu kiko wazi zzk kaonewa
"You cannot jail and then listen him"-Albert Msando
nadhani iko hivi!.....Jaji ni mwanasheria, maana yake yeye ndio ayeandika hiyo kesi na kupekwa pale mahakamani na wakili msando
Chadema tunakera muda mwingine. Tumeshinda kesi ya lema, ugaidi wa lwakatare na kilewo, mbona huko hatukusema hayo? Tukubali kushinda na kushindwa!