Jaji Makaramba atajwa kuandaa kesi ya Zitto.

Jaji Makaramba atajwa kuandaa kesi ya Zitto.

Status
Not open for further replies.
uzi unahusu cdm, wachangia ni ccm,,,,ah aha ha !
 
Chadema tunakera muda mwingine. Tumeshinda kesi ya lema, ugaidi wa lwakatare na kilewo, mbona huko hatukusema hayo? Tukubali kushinda na kushindwa!

Nimependa sana argument yako. CDM wanatakiwa kudhibiti baadhi ya wapenzi wao , argument zingine kama za mleta mada zinaweza kuwa ni destructive kwa CDM. Mtandao huu unasomwa na watu wengi wasomi na wenye ufahamu mkubwa hivyo siyo vizuri kuropoka ropoka tu
 
hata kama majaji nao wakiingilia siasa za nchi bado ukweli utabaki tu kuwa IPO SIKU HUKUMU YA MUNGU ITAFANYIKA.
 
alivyoshinda lema Arusha mkasema jaji ametenda Haki mkishindwa Jaji amependelea,Naona mmeanza kurusharusha miguu soon mtakata roho.

Acheni upotoshaji...jana haikuwa hukumu(judgment ) Ila jana ilikuwa mi uamuzi mdogo (rulling) uamuzi huo ulitokana ma maombi madogo yaloletwa NA wakili WA Zitto. NA kwa kifuoi Zitto hàjashinda kesi yake kesi yake ya msingi IPO inaendelea acheni kutokwa mapovu
 
jaji ataaandaje kesi ya Zitto?
makaramba sio jaji incharge wa mahakama kuu, yeye yupp kitengo cha biashara
Kesi ya msingi haijamalizika, Makaramba sie anampangia jaji Utamwa File
wala hakuna utaratibu wa majaji kuandaa kesi mahakamani ndio kwanza nasikia kutoka kwako..
uliwaza kwanza kabla hujapost huu upuzi wako? elimu yako ni form gani ndugu?
acha kujiabisha. uamuzi wa jana ni wa kawaida na nlitegemea hivo kuwa kamati kuu ya chadema hawakupaswa kumjadili Zito kama kuna rufaa baraza kuu, na baraza kuu linaundwa pia na hiyo kamati kuu..
 
Inawezeka hujui hata kuko mahakamani kulikuwa na nini? ZZK aliomba mahakama kuzuia CDM isimjadili.....wao wakapeleka pingamizi, wameshindwa pingamizi, kesi bado sasa nani huwezi kusema fulani kashindwa hapo....

Nampongeza kijana Albert Msando kwa kuwagaragaza wazee wa CHADEMA ACADEMIA. Endelea kuomba ushauri kutoka kwa watu weledi na si kusikiliza mihemko ya akina Mbowe na Mtei
 
Nimenukuu kutoka mtandao wa -----------forum: "Taarifa zilizotufikia kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chadema zinasema,Jaji Robert Makaramba ndiye aliyeandaa kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya baraza la wadhamini na katibu mkuu wa Chadema.Hayo yalipatikana katika mawasiliano yaliyonaswa kati ya wakili Albart Msando anayemtetea Zitto na Jaji Makaramba.kwa mujibu wa taarifa hiyo hata usikilizwaji wa kesi hii umekuwa wa kasi kutokana na hatua hiyo ya Jaji kuwa mshiriki wa mdai na serikali kuwa nyuma ya kesi hiyo" TAFAKARINI

-------- ni MWANA.HALISI forum
 
nadhani iko hivi!.....Jaji ni mwanasheria, maana yake yeye ndio ayeandika hiyo kesi na kupekwa pale mahakamani na wakili msando

jaji ataaandaje kesi ya Zitto?
makaramba sio jaji incharge wa mahakama kuu, yeye yupp kitengo cha biashara
Kesi ya msingi haijamalizika, Makaramba sie anampangia jaji Utamwa File
wala hakuna utaratibu wa majaji kuandaa kesi mahakamani ndio kwanza nasikia kutoka kwako..
uliwaza kwanza kabla hujapost huu upuzi wako? elimu yako ni form gani ndugu?
acha kujiabisha. uamuzi wa jana ni wa kawaida na nlitegemea hivo kuwa kamati kuu ya chadema hawakupaswa kumjadili Zito kama kuna rufaa baraza kuu, na baraza kuu linaundwa pia na hiyo kamati kuu..
 
CHADEMA very childish indeed!!!

Mtaishia kulia lia tu hii hapa 2014, wake up loosers!!!
 
kadhalika wewe ulichokiandika ni uchochozi mtupu.unastahili kuogopeka kama ukoma na jamii nzima.sidhani kama umekielewa kilichoandikwa hapa,soma upya halafu urudi tena!

Umeshinda wewe.
 
Muda mwingine huwa napatwa na mashaka na watu wasio na Ushahidi wowote kuamua kusema watu kwa njia ya kutaka kuharibu taswira ya Mahakama ambayo siku zote inajitahidi kutoa haki kila upande bila kupendelea. Ama kweli nimeamini refa ni mzuri mnaposhinda mkipigwa hata kama aliwapa penalt 5 atakua hafai basi ingefaa sana mjenpe mahakama zenu ili muwe mnashinda tu angalieni sana tabia zenu za kifashist na ubinafsi.
 
Nimenukuu kutoka mtandao wa -----------forum: "Taarifa zilizotufikia kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chadema zinasema,Jaji Robert Makaramba ndiye aliyeandaa kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya baraza la wadhamini na katibu mkuu wa Chadema.Hayo yalipatikana katika mawasiliano yaliyonaswa kati ya wakili Albart Msando anayemtetea Zitto na Jaji Makaramba.kwa mujibu wa taarifa hiyo hata usikilizwaji wa kesi hii umekuwa wa kasi kutokana na hatua hiyo ya Jaji kuwa mshiriki wa mdai na serikali kuwa nyuma ya kesi hiyo" TAFAKARINI

Vyanzo vya kuaminika?!!!

Bora hili nalo lipite ili watu waendelee na shughuli nyingine......
 
Lakini hii tabia chadema inakomaa,ya kutoamini mamlaka halali za dola
Mara ngapi tumeshinda kesi zetu tena zenye interest moja kwa moja na serikali?kesi ya lema,Tindu lissu,kilewo etc etc
Halafu mods mtaachaje habari ambayo haina credible/reliable source?
Huu ni mwendelezo tu wa propaganda-kesi kama ile hata wakili wa darasa la saba anashinda kila kitu kiko wazi zzk kaonewa
"You cannot jail and then listen him"-Albert Msando

Sasa CHADEMA inakuja kwenye hizi allegations? Mbona mnakimbilia kutoa malalamiko bila kusoma na kufanya tafakuri ya kutosha. Uzi huu umekuwepo kwenye mtandao tajwa kabla ya uamuzi wa jana. Na unamuhumu jaji mwingine. Kama nsivounga mkono tuhuma ndivyo isivyounga mkono kuwaweka CDM ndani ya kapu moja la lawama
 
Kwani kushinda Lema na Lwakatare kunaharalisha na kusema kama kule CDM ilishinda na hapa mahakama ikashinda kwahiyo CDM wasiseme?

Ukweli ndo huo hata kama CDM imeshinda kesi 100 huko nyuma kwa kesi ya jana kilichofanyika kinajulikana na katu hatuwezi kuacha kusema,kwahiyo zile walishinda alafu hii hawastahili kushinda kwasababu wameshashinda nyingi? kweli CCM hamnazo.
 
Huu uongo nimechoka kuusikia,nyie kila mawasiliano ya watu mnayapata tu
 
tangu lini hakimu au jaji akaanda kesi na kuipeleka mahakamani?
hakuna kitu kama hiki.
wanaondaa kesi ni mawakili au wanasheria na watu wa kawaida wenye madai
jaji au hakimu kazi yake ni kusikiliza kesi na kutoa hukumu

nadhani iko hivi!.....Jaji ni mwanasheria, maana yake yeye ndio ayeandika hiyo kesi na kupekwa pale mahakamani na wakili msando
 
Chadema ni wataalam wa propaganda tena zisizo na kichwa wala miguu. Ninafahamu wanachama na mashabiki wenu wengi wanapenda siasa za majitaka na uvumi, msisahau wapo wanapenda hoja zenye mshiko na ukweli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Chadema tunakera muda mwingine. Tumeshinda kesi ya lema, ugaidi wa lwakatare na kilewo, mbona huko hatukusema hayo? Tukubali kushinda na kushindwa!

Hivi hizo kesi zote unazozitaja zilisikilizwa na kuamuliwa na Jaji huyo huyo wa jana? Hujui kuwa kwenye Chuo kimoja ndani yake kuna Walimu wazuri na wengine magarasa? THINK BIG PAL!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom