Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yaani wewe unawaza kesi ya Lissu tu!! Watz wanaimani na Mahakama kupitia maamuzi ya kesi mbalimbali zilizopelekwa mahakamani siyo hiyo ya mhaini na msaliti tu!!Anasemaje?
Wananchi wana imani na Mahakama?
Mahakama gani?
Hii inayokubali mahairisho ya kesi ya Tundu Lissu na hii ya huyu jaji mshenzi aliyegoma kujitoa kesi ya Chadema na amekifungia kufanya siasa?
Kwani Jaji kugoma kujitoa kwenye kesi ni kwenye kesi hii tu ya Chadema? Au umeanza kufuatilia kesi za mahakamani mwaka huu mkuu?Jaji mkuu amepata uhakika wapi kuwa watu wana imani na mahakama?. Watu walikuwa na imani na mahakama enzi zile za akina jaji Lukingira, jaji Lubuva, jaji Nyalali, lakini siyo hii mahakama ya sasa iliyojaa majaji fake kama yule anayegoma kujitoa wakati wahusika hawana imani naye!! Hawa majaji wanaosubiria kupewa amri na mawakili wa serikali, nani anaweza kuwa na imani nao?
Mnawajali wananchi kweli nyie mfisiemuJaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju amewataka majaji na Mahakimu kote nchini kumaliza kwa wakati mashauri yote ya kikatiba yanayohusiana na mchakato wa uchaguzi, ili kuimarisha imani ya wananchi kwa Mahakama na kuwapa uhakika walioshtaki kuhusu hatua za uchaguzi.
Jaji Masaju ametoa kauli hiyo Julai 31, 2025 jijini Dodoma alipotoa salamu kwa Majaji wa Mahakama Kuu waliokuwa kwenye mafunzo ya Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi kwa njia ya Mahakama Mtandao.
"Tunajua Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba mwaka huu, na kuna mashauri mbalimbali mahakamani yanayohusu sheria na mchakato wa uchaguzi. Ushauri wangu ni tumalize kesi hizo mapema ili wananchi wawe na uhakika kuhusu mchakato wa uchaguzi. Kama kuna sababu ya kuchelewa, basi iwe ya msingi," amesema Jaji Masaju.
Ameeleza kuwa kutochelewesha haki ni takwa la kikatiba chini ya Ibara ya 107A(2), huku Dira ya Mahakama ikisisitiza utoaji wa haki kwa wakati kwa wote.
Jaji Mkuu ameongeza kuwa wananchi wana imani kubwa na Mahakama, hivyo ni muhimu kushughulikia mashauri yote mapema. Aidha, amekumbusha Majaji, Mahakimu na Mawakili kusoma na kufahamu Sheria za Uchaguzi, akirejea hotuba yake ya Julai 3, 2025 aliyoitoa katika sherehe za kuwapokea Mawakili wapya.
Chanzo: Mwananchi Digital
Hebu waeleze ukweli Hawa wanafiki!Anasemaje?
Wananchi wana imani na Mahakama?
Mahakama gani?
Hii inayokubali mahairisho ya kesi ya Tundu Lissu na hii ya huyu jaji mshenzi aliyegoma kujitoa kesi ya Chadema na amekifungia kufanya siasa?
OkJaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju amewataka majaji na Mahakimu kote nchini kumaliza kwa wakati mashauri yote ya kikatiba yanayohusiana na mchakato wa uchaguzi, ili kuimarisha imani ya wananchi kwa Mahakama na kuwapa uhakika walioshtaki kuhusu hatua za uchaguzi.
Jaji Masaju ametoa kauli hiyo Julai 31, 2025 jijini Dodoma alipotoa salamu kwa Majaji wa Mahakama Kuu waliokuwa kwenye mafunzo ya Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi kwa njia ya Mahakama Mtandao.
"Tunajua Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba mwaka huu, na kuna mashauri mbalimbali mahakamani yanayohusu sheria na mchakato wa uchaguzi. Ushauri wangu ni tumalize kesi hizo mapema ili wananchi wawe na uhakika kuhusu mchakato wa uchaguzi. Kama kuna sababu ya kuchelewa, basi iwe ya msingi," amesema Jaji Masaju.
Ameeleza kuwa kutochelewesha haki ni takwa la kikatiba chini ya Ibara ya 107A(2), huku Dira ya Mahakama ikisisitiza utoaji wa haki kwa wakati kwa wote.
Jaji Mkuu ameongeza kuwa wananchi wana imani kubwa na Mahakama, hivyo ni muhimu kushughulikia mashauri yote mapema. Aidha, amekumbusha Majaji, Mahakimu na Mawakili kusoma na kufahamu Sheria za Uchaguzi, akirejea hotuba yake ya Julai 3, 2025 aliyoitoa katika sherehe za kuwapokea Mawakili wapya.
Chanzo: Mwananchi Digital
Wewe ndiyo una Imani na mahakama. Hata mtanzania mmoja akikatandamizwa tutakosa Imani na mahakama.Yaani wewe unawaza kesi ya Lissu tu!! Watz wanaimani na Mahakama kupitia maamuzi ya kesi mbalimbali zilizopelekwa mahakamani siyo hiyo ya mhaini na msaliti tu!!
takatakaJaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju amewataka majaji na Mahakimu kote nchini kumaliza kwa wakati mashauri yote ya kikatiba yanayohusiana na mchakato wa uchaguzi, ili kuimarisha imani ya wananchi kwa Mahakama na kuwapa uhakika walioshtaki kuhusu hatua za uchaguzi.
Jaji Masaju ametoa kauli hiyo Julai 31, 2025 jijini Dodoma alipotoa salamu kwa Majaji wa Mahakama Kuu waliokuwa kwenye mafunzo ya Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi kwa njia ya Mahakama Mtandao.
"Tunajua Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba mwaka huu, na kuna mashauri mbalimbali mahakamani yanayohusu sheria na mchakato wa uchaguzi. Ushauri wangu ni tumalize kesi hizo mapema ili wananchi wawe na uhakika kuhusu mchakato wa uchaguzi. Kama kuna sababu ya kuchelewa, basi iwe ya msingi," amesema Jaji Masaju.
Ameeleza kuwa kutochelewesha haki ni takwa la kikatiba chini ya Ibara ya 107A(2), huku Dira ya Mahakama ikisisitiza utoaji wa haki kwa wakati kwa wote.
Jaji Mkuu ameongeza kuwa wananchi wana imani kubwa na Mahakama, hivyo ni muhimu kushughulikia mashauri yote mapema. Aidha, amekumbusha Majaji, Mahakimu na Mawakili kusoma na kufahamu Sheria za Uchaguzi, akirejea hotuba yake ya Julai 3, 2025 aliyoitoa katika sherehe za kuwapokea Mawakili wapya.
Chanzo: Mwananchi Digital
Anazungumza story za kufurahisha genge, lakini hakuna mahakama ya kutoa haki hapa pongo. Huyo alikuwa mwanasheria mkuu wa serekali, lakini covid19 wako bungeni hadi leo. Akatafute wajinga wa kuwapa story hizo.Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju amewataka majaji na Mahakimu kote nchini kumaliza kwa wakati mashauri yote ya kikatiba yanayohusiana na mchakato wa uchaguzi, ili kuimarisha imani ya wananchi kwa Mahakama na kuwapa uhakika walioshtaki kuhusu hatua za uchaguzi.
Jaji Masaju ametoa kauli hiyo Julai 31, 2025 jijini Dodoma alipotoa salamu kwa Majaji wa Mahakama Kuu waliokuwa kwenye mafunzo ya Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi kwa njia ya Mahakama Mtandao.
"Tunajua Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba mwaka huu, na kuna mashauri mbalimbali mahakamani yanayohusu sheria na mchakato wa uchaguzi. Ushauri wangu ni tumalize kesi hizo mapema ili wananchi wawe na uhakika kuhusu mchakato wa uchaguzi. Kama kuna sababu ya kuchelewa, basi iwe ya msingi," amesema Jaji Masaju.
Ameeleza kuwa kutochelewesha haki ni takwa la kikatiba chini ya Ibara ya 107A(2), huku Dira ya Mahakama ikisisitiza utoaji wa haki kwa wakati kwa wote.
Jaji Mkuu ameongeza kuwa wananchi wana imani kubwa na Mahakama, hivyo ni muhimu kushughulikia mashauri yote mapema. Aidha, amekumbusha Majaji, Mahakimu na Mawakili kusoma na kufahamu Sheria za Uchaguzi, akirejea hotuba yake ya Julai 3, 2025 aliyoitoa katika sherehe za kuwapokea Mawakili wapya.
Chanzo: Mwananchi Digital
Tutajie kesi majaji wengine waliogomea kujitoa kwenye kesi tupime na huu upuuzi unaoendelea sasa.Kwani Jaji kugoma kujitoa kwenye kesi ni kwenye kesi hii tu ya Chadema? Au umeanza kufuatilia kesi za mahakamani mwaka huu mkuu?
Kasome kumbukumbu za Mahakama zinapatikana online siku hizi acha uvivu.Tutajie kesi majaji wengine waliogomea kujitoa kwenye kesi tupime na huu upuuzi unaoendelea sasa.
Nikasome habari ya hizo mahakama za ccm, nimekosa habari za kusoma?Kasome kumbukumbu za Mahakama zinapatikana online siku hizi acha uvivu.