Ndio maana nimekuambia uhamie huko Ulaya kwa mabwana zako kwa kuwa huamini vitu vya TZNikasome habari ya hizo mahakama za ccm, nimekosa habari za kusoma?
Ndio maana nimekuambia uhamie huko Ulaya kwa mabwana zako kwa kuwa huamini vitu vya TZNikasome habari ya hizo mahakama za ccm, nimekosa habari za kusoma?
Siamini vitu vya ccm. Tanzania sipo kwa bahati mbaya, wala kwa hisani ya ccm. Ila mimi na hizo takataka za ccm ni mbalimbali.Ndio maana nimekuambia uhamie huko Ulaya kwa mabwana zako kwa kuwa huamini vitu vya TZ
Na ndio wataokuongoza mpaka mwaka 2100Siamini vitu vya ccm. Tanzania sipo kwa bahati mbaya, wala kwa hisani ya ccm. Ila mimi na hizo takataka za ccm ni mbalimbali.
Mbona karibu, nildhani hadi 5050Na ndio wataokuongoza mpaka mwaka 2100
Okay usiku mwema ngoja niendelee kuangalia mechi hapa Mkapa.Mbona karibu, nildhani hadi 5050
Ikibidi ulale hapo uwanjani kabisa.Okay usiku mwema ngoja niendelee kuangali mechi hapa Mkapa.
Mahakama za simu moja.. Jaji chawaAnasemaje?
Wananchi wana imani na Mahakama?
Mahakama gani?
Hii inayokubali mahairisho ya kesi ya Tundu Lissu na hii ya huyu jaji mshenzi aliyegoma kujitoa kesi ya Chadema na amekifungia kufanya siasa?
Lile kundi la Dkt s10oja/mcoge litamuua huyu butu. Maana halitaki kukwamishwa. Ila huu upepo utamfikia kila mtu jamani jamani ni hatari sana. Ila iko siku hata Gadafi alikuwa akiwa kajificha chini ya daraja.Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju amewataka majaji na Mahakimu kote nchini kumaliza kwa wakati mashauri yote ya kikatiba yanayohusiana na mchakato wa uchaguzi, ili kuimarisha imani ya wananchi kwa Mahakama na kuwapa uhakika walioshtaki kuhusu hatua za uchaguzi.
Jaji Masaju ametoa kauli hiyo Julai 31, 2025 jijini Dodoma alipotoa salamu kwa Majaji wa Mahakama Kuu waliokuwa kwenye mafunzo ya Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi kwa njia ya Mahakama Mtandao.
"Tunajua Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba mwaka huu, na kuna mashauri mbalimbali mahakamani yanayohusu sheria na mchakato wa uchaguzi. Ushauri wangu ni tumalize kesi hizo mapema ili wananchi wawe na uhakika kuhusu mchakato wa uchaguzi. Kama kuna sababu ya kuchelewa, basi iwe ya msingi," amesema Jaji Masaju.
Ameeleza kuwa kutochelewesha haki ni takwa la kikatiba chini ya Ibara ya 107A(2), huku Dira ya Mahakama ikisisitiza utoaji wa haki kwa wakati kwa wote.
Jaji Mkuu ameongeza kuwa wananchi wana imani kubwa na Mahakama, hivyo ni muhimu kushughulikia mashauri yote mapema. Aidha, amekumbusha Majaji, Mahakimu na Mawakili kusoma na kufahamu Sheria za Uchaguzi, akirejea hotuba yake ya Julai 3, 2025 aliyoitoa katika sherehe za kuwapokea Mawakili wapya.
Chanzo: Mwananchi Digital