GE2025 Jaji Masaju aagiza mashauri ya uchaguzi yamalizwe mapema kujenga imani kwa Mahakama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nikasome habari ya hizo mahakama za ccm, nimekosa habari za kusoma?
Ndio maana nimekuambia uhamie huko Ulaya kwa mabwana zako kwa kuwa huamini vitu vya TZ
 
Ndio maana nimekuambia uhamie huko Ulaya kwa mabwana zako kwa kuwa huamini vitu vya TZ
Siamini vitu vya ccm. Tanzania sipo kwa bahati mbaya, wala kwa hisani ya ccm. Ila mimi na hizo takataka za ccm ni mbalimbali.
 
Siamini vitu vya ccm. Tanzania sipo kwa bahati mbaya, wala kwa hisani ya ccm. Ila mimi na hizo takataka za ccm ni mbalimbali.
Na ndio wataokuongoza mpaka mwaka 2100
 
Anasemaje?

Wananchi wana imani na Mahakama?

Mahakama gani?

Hii inayokubali mahairisho ya kesi ya Tundu Lissu na hii ya huyu jaji mshenzi aliyegoma kujitoa kesi ya Chadema na amekifungia kufanya siasa?
Mahakama za simu moja.. Jaji chawa
 
Lile kundi la Dkt s10oja/mcoge litamuua huyu butu. Maana halitaki kukwamishwa. Ila huu upepo utamfikia kila mtu jamani jamani ni hatari sana. Ila iko siku hata Gadafi alikuwa akiwa kajificha chini ya daraja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…