TANZIA Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe. Salvatory Bongole afariki Dunia

TANZIA Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe. Salvatory Bongole afariki Dunia

Kwakua kuna tumaini ng'ambo ya kaburi,basi heri walalao katika tumaini la Bwana wetu Yesu Kristo maana atakaporudi mara ya pili atawafufua kwanza ktk miili isiyoharibika tena.
Bwana awafariji familia ndugu jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wao!
 
mimi sio Mungu ila Majaji kwa dhambi mnazofanya kwa kupoteza haki za watu sidhani kama mbinguni mtaingia...
 
Ni changamoto gani tena? Anyways.....rip
 
Alihukumu wengine sasa zamu yake imefika tatizo wakiwa kwenye majoho hawakumbukagi kama kuna kifo.@Corona imeisha ziendelee kujifukiza.
 
Kama hakujenga na mjane alikuwa maza hausi soon watahamishwa kutoka nyumba za serikali waje tubanane nao uswaz
Mzee ana kasri lake Rombo la maana. Pia alikua mtu poa sana asiye na makuu. Nimewahi kukaa naye kwa muda wa siku nzima katika moja ya mashamba yake ya ndizi huko ushagoo kula mbuzi na kunywa Mbege. Mungu amrehemu. Wacha tusubirie siku ya mazishi tumzike mzee wetu.
 
Dunia ni mapito....tujitahidi kadiri iwezekanavyo kutenda mema yanayo mpendeza Mungu.ili tumalize safari ya hapa duniani kwa salama
 
Hawa majaji na wanasheria walipewa OLE na Bwana Yesu soma Luka 11:46.... kweli hawa siyo watu wazuri, hata mimi yule mwanasheria aliniumiza.

Ole wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom