Sware
Member
- Dec 12, 2010
- 88
- 11
Asante dadangu na mimi nimefurahi kupita kiasi mana tuliishi nao kwa compaound moja yeye na familia yake kama miaka mi4 Nairobi yaani ni i am so happy for him na his family hasa his wife na watoto wake!!!
Sijui kama mlifatilia mahojiano yake vizuri alieleza vizuri saaaaaana kwanini anavaa hereni na akaeleweka na ameapishwa. He is a gentleman I appreciate him bwana