Jaji Mkuu aionya serikali kufanya maamuzi kinyume na katiba kukabiliana na upinzani

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Justice-David-Maraga.jpg

Jaji Mkuu nchini Kenya David Maraga, ameilaumu serikali ya nchi hiyo kwa kufanya maamuzi kinyume cha Sheria na Katiba ya nchi hiyo katika kukabiliana na upinzani.

Jaji Maraga ametoa kauli hiyo ikiwa imepita masaa kadhaa tokea kufukuzwa kwa mwanasheria maarufu ambaye alikuwa miongoni mwa watu walioshuhudia kuapishwa Raila Odinga katika viunga vya 'Uhuru Park' kufukuzwa nchini humo na kupelekwa Canada huku akiwa chini ya uangalizi wa serikali.

Katika maelezo yake Jaji Maraga, amesema malalamiko yaliyopelekwa Mahakamani yalikuwa wazi na majukumu ya kufanyia maamuzi yalikuwa ya Mahakama kutokana na kwamba ndio chombo pekee cha kutetea haki kwa kila mmoja pamoja na serikali yenyewe.

Jaji huyo ametoa tamko hilo la kuionya serikali kwa kushindwa kutii sheria kutokana na kitendo cha serikali ya Kenya kuonekana kudharau maamuzi ya mahakama

Chanzo: EATV
 
Maraga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
View attachment 692511

Ahhhha umeshtua nikajua n mteule wa Baba jesca
 
Nimekuja mbio nikidhani ni hapa kwa joni mnywa pombe
Baba Je-Sika unamjua unamsikia.....huyu anaenunua mguu bandia kwa Stara, huku Lissu akisota na majeraha yake kwa fedha za kuchangiwa?
 
Dah, Nilifikiri ni Jaji mkuu wa Tanzania!
 
Hii speed nimeingia nayo hapa nikajua mteule, kumbe ni jaji original David
 
Dah, hehehe watz bana hivi hata imani ndogo tu na mahakama zenu hamna? Mimi nimefika hapa nikijua tu ni jaji mkuu wa Kenya, David Maraga! 😀
 
Back
Top Bottom