Nitajaribu kutafuta picha za jengo moja la mahakama za mwanzo na pia kuna swali la muhimu la kujiuliza hapa ni kwamba, kama jengo hili tunajenga kwa gharama hii je huko mikoani itakuaje??Yaani jengo moja la Mahakama ambalo limeenda kufunguliwa na Waziri Mkuu.. lina gharama chini ya nyumba moja ya Gavana wa Benki au Naibu wake halafu tunatoa pongezi!? Hivi Jaji Mkuu wa Tanzania na Gavana wa Benki Kuu nani anaonesha kuijali nchi yake zaidi?
Huu ni uhuni mtupu... Hongera Jaji Ramadhani, kumbe nyumba ya Jaji bado inakalika na haogopi kutekwa kama somebody i know..
Nitajaribu kutafuta picha za jengo moja la mahakama za mwanzo na pia kuna swali la muhimu la kujiuliza hapa ni kwamba, kama jengo hili tunajenga kwa gharama hii je huko mikoani itakuaje??
Mwanakijiji,
We have a very few good men like Justice huyu. Angalau serikalini kungekua na watu wenye madaraka ya kuanzia wakurugenzi hadi mawaziri wenye akili na uwananchi na kujali Taifa kama 60 tu ambao wanafuata tabia kama huyu jaji tungekuwa dunia ya pili na sio ya mwisho.
Kitu kingine cha kukiangalia sana kwenye construction industry ni tabia ya kuongezea gharama halisi za project ili baadhi ya watu wapate ten % zao. Ndio maana unaona ukarabati tu wa nyumba unaweza kujenga nyumba nyingine kumi bila wasiwasi wowote.
Nafikiri umefika muda muafaka sasa wa kuanza kuangalia hizi mega projects kama zinajengwa na gharama halisi au la.
Nafikiri mchango wa CRB na EBR na collaboration ya makampuni ya ujenzi ni vital sana kwa hilo. Sasa hivi mtoaji mkubwa wa tender za ujenzi ni serikali na taasisi zake. Lakini mpaka uje kuzipata hizo project ni issue.Ndahani.. binafsi ningependa kuliona hilo jengo la Justice Said na kulinganisha na ile nyuma ya Gavana wetu.. haiwezekani kwenye mji mmoja kwa kiasi karibu kile kile kuwe na tofauti kubwa sana ya kiile unachoweza kufanya na fedha ziile zile.
Nafikiri mchango wa CRB na EBR na collaboration ya makampuni ya ujenzi ni vital sana kwa hilo. Sasa hivi mtoaji mkubwa wa tender za ujenzi ni serikali na taasisi zake. Lakini mpaka uje kuzipata hizo project ni issue.
Ndio maana hata kampuni kama Estim inaangaliwa kwa shaka shaka hivi maana kuanzia multifuction hall ya ikulu mpaka, na majengo mengine makubwa karibu yote kwenye hii awamu ya nne anapewa yeye. Hivi hakuna wakandarasi wa ndani wengine?
hata kama ni mwanasiasa, lakini kitendo cha yeye kubana matumizi au kuzuia matumizi kwa mambo yasiyo na tija anapaswa kupongezwa.Wengi kumbe hamumjui huyu Jaji Mkuu. Huyu ni mwanasiasa. Hapa anacheza politics kwa sababu ana malengo yake ya kisiasa baada ya kustaafu mwisho wa mwaka. Sintashangaa mweiz Aprili akitoa hukumu ya kuruhusu wagombea binafsi. He is from Zanzibar. One time in the past aliwahi kugombea Urais kama sikosei.