Anawasaka Mawakili wanaoikosoa mahakama, ameeacbimba biti kali sana
Nampenda Shangazi Maria hadi naumwaš„°
Shangazi endelea kupiga hao Mbwa hadi watoke mvunguni wote.Endelea kupiga hadi Chifu Hangaya nae atoke mvunguni.
View attachment 2053734
Itakua poa km akitungiwa nyimbo na mwimbaj awe Mondi, Kiba, Zuchu au Konde boy kwa njia hii atafahamika na kila rika na mchango wake utajulikana bongo nzima hiyo ya kuandikwa kwenye vitabu ataishia kujulikana na wanafunz ili wajibie mitihan wakimaliza wanaachana naeKwenye vitabu vipya vya mashujaa wa nchi hii majina ya watu kama huyu yataandikwa mle kwa maandishi ya dhahabu.
Nami nampenda sana huyu mwanangu! in political arena!Kwenye vitabu vipya vya mashujaa wa nchi hii majina ya watu kama huyu yataandikwa mle kwa maandishi ya dhahabu.
Tena na kupigwa na Muhutri wa Mungu aliyehai!Kwenye vitabu vipya vya mashujaa wa nchi hii majina ya watu kama huyu yataandikwa mle kwa maandishi ya dhahabu.
Nami nampenda sana huyu mwanangu! in political arena!
Msimtukane siku akianza mapambio, maana kama leo hii Slaa anaitwa Dr. Kasava basi Maria kupewa jina lolote lile itakuwa jambo rahisi sanaWakumchukia huyu shangazi? Huyo si ndiye mchawi mwenyewe sasa?
Msimtukane siku akianza mapambio, maana kama leo hii Slaa anaitwa Dr. Kasava basi Maria kupewa jina lolote lile itakuwa jambo rahisi sana
Daaah! Niliikosaje hii?Iko recorded katika hoja zilizoongelewa katika Maria Space Dec. 20.
Katika maelfu ya wajumbe ya waliokuwapo, Mh. Jaji Mkuu naye alikuwa katika mahudhurio.
Kwamba katika maazimio, umuhimu wa kuwahusisha wananchi kwenye kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ulizingatiwa mno:
"Kwa uhakika ujumbe utakuwa umefika kote kunako husika (ikiwapendeza) kwa mustakabala mwema wa taifa hili."
----
Source:
vipi ana chura?Nampenda na kumheshimu Shangazi Maria hadi naumwa[emoji3059]
Shangazi endelea kupiga hao Mbwa hadi watoke mvunguni wote.
Endelea kupiga hadi Chifu Hangaya nae atoke mvunguni.
View attachment 2053734
ila jamaniTL ana madini sana. Huyu jamaa ni exceptionalIko recorded katika hoja zilizoongelewa katika Maria Space Dec. 20.
Katika maelfu ya wajumbe ya waliokuwapo, Mh. Jaji Mkuu naye alikuwa katika mahudhurio.
Kwamba katika maazimio, umuhimu wa kuwahusisha wananchi kwenye kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ulizingatiwa mno:
"Kwa uhakika ujumbe utakuwa umefika kote kunako husika (ikiwapendeza) kwa mustakabala mwema wa taifa hili."
----
Source:
Can you imagineā¦Nampenda na kumheshimu Shangazi Maria hadi naumwaš„°
Shangazi endelea kupiga hao Mbwa hadi watoke mvunguni wote.
Endelea kupiga hadi Chifu Hangaya nae atoke mvunguni.
View attachment 2053734
Akizingua kama kawa atakula mshahara wake. We dont give a fuxkMsimtukane siku akianza mapambio, maana kama leo hii Slaa anaitwa Dr. Kasava basi Maria kupewa jina lolote lile itakuwa jambo rahisi sana