Hahaha ameshindwa kutuma mashushushu wake? au na wenyewe hawaamini?Anawasaka Mawakili wanaoikosoa mahakama, ameeacbimba biti kali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha ameshindwa kutuma mashushushu wake? au na wenyewe hawaamini?Anawasaka Mawakili wanaoikosoa mahakama, ameeacbimba biti kali sana
Unakuta hapo mzee aliingia space akiwa na notebook ya kurekodi majina ya mawakili wanaowakosoa majaji mitandaoni ila akakutana na madini ya maana ikabidi asikilize mjadala kimasta.
Hahaha ameshindwa kutuma mashushushu wake? au na wenyewe hawaamini?
ila jamaniTL ana madini sana. Huyu jamaa ni exceptional
vipi ana chura?
amina. Mungu amemweka kama hazinaHuyu bwana ni muhimu akaimarishiwa ulinzi. Tukipigwa huyu tutakuwa tumekwisha.
Eeh Mola wetu umpishilie mbali mabalaa yote mja wako huyu.
amina. Mungu amemweka kama hazina
20 Dec 2021
Leo #MariaSpaces tunajadili mchakato wa #KatibaMpya
Leo #MariaSpaces tunajadili mchakato wa #KatibaMpya Ni session ya kupanga hatua za kufikia #KatibaMpya kupitia majumuisho ya mapendekezo tulizozitoa katika spaces zilizopita Usikose leo tunapojipanga kwa 2022 kupata #KatibaMpya - kuwa sehemu ya historia
Ila Maria pisi kali aisee sipati picha enzi zake akiwa sixteenNampenda na kumheshimu Shangazi Maria hadi naumwa🥰
Shangazi endelea kupiga hao Mbwa hadi watoke mvunguni wote.
Endelea kupiga hadi Mbwa Chifu Hangaya nae atoke mvunguni.
View attachment 2053734
Iko recorded katika hoja zilizoongelewa katika Maria Space Dec. 20.
Katika maelfu ya wajumbe ya waliokuwapo, Mh. Jaji Mkuu naye alikuwa katika mahudhurio.
Kwamba katika maazimio, umuhimu wa kuwahusisha wananchi kwenye kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ulizingatiwa mno:
"Kwa uhakika ujumbe utakuwa umefika kote kunako husika (ikiwapendeza) kwa mustakabala mwema wa taifa hili."
----
Source: