Jaji mkuu ateuliwa Kenya baada ya mchujo balaa

Jaji mkuu ateuliwa Kenya baada ya mchujo balaa

Nyie wenzetu wa Kenya mnajitahidi sana, siyo sisi na hawa MACCM ambayo hayataki lolote kwa kujua fika yatapoteza nguvu zao za mtutu wa bunduki na pia kusababisha kutoswa na Watanzania milele. Hongereni Wakenya.
mkuu hii ya wakenya nimeipenda sana interview ilikuwa live kwenye tv na kwenye fb page yao...
 
marapic.jpg

Justice David Maraga was nominated as the next Chief Justice due to his relatively long stint in the Judiciary, his perceived political neutrality and his age, the Nation can report.

Judicial Service Commission insiders on Thursday revealed that they were looking for a candidate with deep understanding of the Kenyan Judiciary, one able to bridge the deep lying ideological differences between the Supreme Court and the Court of Appeal and with no known political leanings, qualities they found in Justice Maraga, aged 65.

Other factors that played in his favour include his position as chair of the Judiciary committee on elections that oversees election petition hearings that may arise after the 2017 polls.

Justice Maraga was viewed as most suitable given the ongoing clamour for electoral reforms.

A combination of factors favoured (Justice) Maraga over the rest of the pack.

He was seen as the man who best understood the functioning of the Judiciary and the delicate ego wars pitting the Supreme Court against the court of appeal and the court of appeal against the high court.

As one who has served at both the high court and the court of appeal, he was found most suited to resolve these ideological differences and guarantee a united Judiciary, said a JSC insider.

Having chaired the Judiciary committee on elections, Maraga is one person who appreciates the challenges of election law reforms and is therefore best suited to drive the reform such laws going into another election cycle, said another insider.

A devout Seventh Day Adventist, Justice Maraga, 65, came out as a moderate personality and whose nomination was therefore unlikely to be contested by either side of the political divide when his approval goes to Parliament.

AGE VARIABLE
Justice Maraga’s age also played a role in his nomination, according to the sources.

The team was reluctant to pick a person whose age would see him preside over two election cycles, given the political environment.

They wanted someone who would oversee only one election.

That could only be someone between 64 and 70, the source said.

A chief justice can only serve for a single 10-year term or retire at the age of 70, whichever comes first.

At 65, Justice Maraga cannot preside over the 2022 polls as he would be 71.

This factor knocked out Supreme Court judge Smokin Wanjala’ 56, who had done considerably well during the vetting, as well as former Committee of Experts chairman Nzamba Kitonga, 60.

Besides the age factor, Justice Wanjala, Mr Kitonga and Prof Makau Mutua lost due to their relatively little or no experience as judges.

Justice Maraga served as a lawyer for 25 years and as a judge for the last 13 years.

He was one of the few candidates with experience on the bar and bench.

Though the other original shortlisted candidates: Justices Msagha Mbogholi (63), Roselyn Nambuye (64) and Alnashir Visram (65) all fell within the required age bracket, other factors knocked them out.

Insiders revealed that after the interviews, the race had narrowed down to Justice Maraga and Justice Visram but the former demonstrated more commitment in solving problems in the Judiciary.
 
court of Appeal Judge David Maraga emerged tops in the Judicial Service Commission interviews with more than 10 per cent points above the rest.

He scored an impressive 84 per cent, with Commissioner Tom Ojienda, saying he topped on all fronts, and hence the JSC did not struggle in picking the winner.

Supreme Court Judge Smokin Wanjala came second with 74 per cent.

Controversial US-based law professor Makau Mutua, who had not initially been short-listed, unexpectedly emerged third with 72 per cent.

Court of Appeal Judge Alnashir Visram was fourth, while former Law Society of Kenya chairman Nzamba Kitonga came fifth followed by Supreme Court Judge Jackton Ojwang.

Court of Appeal Judge Roselyne Nambuye was seventh.

Mr Daniel Waisiko Wambura, a principal administrative secretary in the office of the Deputy President, is said to have come last, with a 30 per cent score.

Retired judge Aaron Ringera emerged slightly above Mr Wambura, but also in the 30s percentage.


However, some commissioners denied that the interviewees had been ranked.
 
65 years?
Kwa Tanzania huyo anatakiwa awe ameshastaafu.
 
HAta hapa kwetu Judiciary tulitangaza nafasi za majaji 11 na sasa tunapitia majina yao,Tutawafanyia usahili japo hatuna fungu la kuonyesha live kwenye runinga,Ila mtapata majibu!

Pamoja tujenge taifa
Sio vizuri kujidharau lakini hapa kwetu sina uhakika kama wanaweza kutangaza nafasi hizi na kuchukua watu bila kuangalia vigezo kama vya wakurugenzi, DCs, DED nk (i.e. makada). Ndio maana inatuwia vigumu kwenda mbele.
 
HAta hapa kwetu Judiciary tulitangaza nafasi za majaji 11 na sasa tunapitia majina yao,Tutawafanyia usahili japo hatuna fungu la kuonyesha live kwenye runinga,Ila mtapata majibu!

Pamoja tujenge taifa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] baado sana mkuu
 
Hongera sana wakenya,sisi ngoja tubaki na woga wetu mpaka tutakapojitambua tukute wenzetu wako mbali speed 10000
 
65 years?
Kwa Tanzania huyo anatakiwa awe ameshastaafu.
kwa majaji miaka ni busara, hao kazi zao hazichukuliwi kama kazi zengine....
kupata degree ya law tayari ni miaka 7, ukitoka hapo unaanza kama intern, alafu ndo ukue junior advocate..... inachukua miaka kadhaa kabla utengeze jina, tena sasa ukitaka ndo uamue kua jaji, hapo itakuchukua miaka zaidi ya kumi kabla uanze kujulikana na uingie kwa ile circle ya magagi wanaoheshimika.... ukifika hapo ndo unaanza maisha ya hio profession.. most likely utakua umeshafikia karibu na miaka 60 ama hata zaidi
 
mi sikuona interview ya huyu jaji, nani ako nayo... hii media yetu ya kenya pia inafaa ijilete kwa karne ya 21,,,,, wanafaa waanze kujizoesha mambo ya record keeping na archiving ya digital content..... nataka niwe naweza google na nikapata article ya DN au ya SDG ya muaka 1970...... pia nataka miaka ishirini badae niwe naweza google na nikaona full interview ya huyu jaji wala sio ile 1-4minute highlight ya hio interview kwa youtube...
waafrica tujifundishe kuhifadhi historia zetu.... ile inayopatikana pale national archives 65% ilikua collected na wazungu. mpaka wa leo kuna vitabu vyengine bado husema the first person to discover mt.kenya was a white man
 
Daaah hongereni sana sijui lini tutafika huko.
 
..majuzi Raisi wetu ameteua Meneja Mkuu wa Shirika la Soko la Kariakoo.

..hapo ndipo utaelewa Raisi wa Tz ana madaraka makubwa mnooo.
 
Huyu jaji anajitambua sana!
Kaingia ofisi kwa kuiombea/kwa maombi kuliko wale wa nchi fulani ya Africa wanaingia kwa namna flani.
Namponza sana jaji mwenzangu
 
Jopo la masuala ya uteuzi wa majaji limehitimisha kazi yake, baada ya baadhi ya Wakenya wenye sifa mbali mbali kujitokeza na kila mmoja kujieleleza jinsi angetumikia taifa kama jaji mkuu. Hatimaye amepatikana mmoja mwenye sifa zinazokidhi mahitaji na ameteuliwa anasubiri kutawazwa.

Kenya tumepiga hatua sana, zamani mambo kama haya tuliyaskia Ulaya lakini leo hii yapo hapa kwetu yanatendeka. Tulizoea kuona rais anachagua na kumtawaza jaji mkuu kama atakavyo wakati wowote na bila kumjali nani wala nini. Hongera jaji mteule, hongera Wakenya wenzangu tuliovumilia mapigo ya kila aina miaka ya hapo tisini tukipigania haya ya leo kila mahali.

Hatutapata haki kwa asilimia 100% lakini hatua hizi ni chanya

========================

Judge David Maraga has been nominated as the new Chief Justice of Kenya.

Maraga, 65, will take over from Willy Mutunga, who retired in June 2016 if approved by President Uhuru Kenyatta and the National Assembly.

The Bible and the law: Nominated Chief Justice David Maraga in profile

The Judicial Service Commission announced on Thursday that the CJ will assume office with immediate effect.

The Kisumu-based judge was the third to be interviewed for the position of the next Chief Justice.

He was among 11 judges shortlisted by the Judicial Service Commission.

During the interviews, Maraga found himself at pains to demonstrate his expertise in applying the law inconflicting suits.

Attorney General Githu Muigai, one of the panelists, put him to the test, seeking to know how he would pass judgment in suits where two or several laws were at conflict.

He used a case study of a surrogate mother who decided not to give a child to its separated biological parents, who were both seeking custody.

Maraga admitted that the question was tricky but answered: "In this scenario, the child's interest is paramount."

Judge David Maraga nominated Chief Justice


Hahaha wasimgomee tu 2017 na kuanza kumtaka ajiuzuru kwa sababu tu matokeo ya uchaguzi hayakwenda jinsi watu fulani wanavyotaka!

Hata hivyo hongera zake ni jambo jema kufaulu Mtihani, ingawaje ameniboa kuvaa wig kichwani nilifikiri yule aliyepita aliondoa huu ujinga!
 
Back
Top Bottom