MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
Hahaha wasimgomee tu 2017 na kuanza kumtaka ajiuzuru kwa sababu tu matokeo ya uchaguzi hayakwenda jinsi watu fulani wanavyotaka!
Hata hivyo hongera zake ni jambo jema kufaulu Mtihani, ingawaje ameniboa kuvaa wig kichwani nilifikiri yule aliyepita aliondoa huu ujinga!
Nyie makada wa CCM nafikiri mna la kujifunza kutoka Kenya. Umuhumu wa uhuru wa taasisi hapo kwenu Tanzania, usitoe hongera tu kwa Kenya ilhali kwenu mnabana.