Anaandika Martin Maranja kwenye ukurasa wake wa Instagram
Bwana Jaji Mkuu, George Masaju.
Unauliza nani anasema Mahakama haipo huru? Hebu tueleze ni kwanini kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A.M Lissu haijapangiwa tarehe na kwanini hafikishwi Mahakamani shauri liendelee?
Je, huo ndiyo uhuru wa Mahakama ambao Jaji Mkuu unauzungumzia