R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Dec 7, 2025 #1 Anaandika Martin Maranja kwenye ukurasa wake wa Instagram Bwana Jaji Mkuu, George Masaju. Unauliza nani anasema Mahakama haipo huru? Hebu tueleze ni kwanini kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A.M Lissu haijapangiwa tarehe na kwanini hafikishwi Mahakamani shauri liendelee? Je, huo ndiyo uhuru wa Mahakama ambao Jaji Mkuu unauzungumzia
Anaandika Martin Maranja kwenye ukurasa wake wa Instagram Bwana Jaji Mkuu, George Masaju. Unauliza nani anasema Mahakama haipo huru? Hebu tueleze ni kwanini kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A.M Lissu haijapangiwa tarehe na kwanini hafikishwi Mahakamani shauri liendelee? Je, huo ndiyo uhuru wa Mahakama ambao Jaji Mkuu unauzungumzia
M mkulimamiwa JF-Expert Member Joined Mar 4, 2025 Posts 2,591 Reaction score 5,315 Dec 7, 2025 #2 D9 ndio jibu litapatikana
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Dec 7, 2025 #3 Hivi MAETIN MARANJA MASESE ni mtu halisi au ni ID ? JE yupo Tanzania? Namkubali sana yuyu mwamba imagine kipindi kile Cha kuripoti kesi toka mahakamani. Nb naomba picha yake.
Hivi MAETIN MARANJA MASESE ni mtu halisi au ni ID ? JE yupo Tanzania? Namkubali sana yuyu mwamba imagine kipindi kile Cha kuripoti kesi toka mahakamani. Nb naomba picha yake.