Jaji mkuu : Maneno matupu kwanini kesi ya Lissu inachelewa

Jaji mkuu : Maneno matupu kwanini kesi ya Lissu inachelewa

Mkifanya usengeneko nani atawaheshimu? Mtatukanwa na kuambiwa ukweli

Mkitenda haki mtaheshimiwa. Liambie taifa kwanini kesi ya Lisu imepaki Court of Appeal?
 
Hili linaniumiza sana sana. Bila hatua mwenyekiti wa Chadema atapotelea kule kule halafu hakuna wakujibu. Kila atayeulizwa atafumba mdomo na kugugumia kwa ndani
 
All of this happens simply because we don't have people who are accountable critical and analytical thinkers.
This country have only political big fishes who are always worried for they're political positions...🤨
 
Hao majaji wanastahili matusi kwa upuuzi wanaoufanya .
 
Mtu akiamiwa jinsi alivyo, haliwi tusi, ndiyo uhalisia wa namna alivyo.

Hivi hawa wanaoitwa majaji siku hizi, ni nani wa kumlinganisha na jani kama Lugakingira au jaji Nyalali? Hawa wanaosubiria kuelekezwa namna hukumu inavyotakiwa kuwa, wana nini cha kuwafanya waheshimiwe?
 
Jaji kila siku anaongea vitu visivyo na msingi na kuvifanyia kazi yeye kawa mtu wa kulalamika tu..
 
Back
Top Bottom