Jaji mkuu Maraga apokewa kishujaa na kwa shangwe Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Alikwenda kule Tanzania kuhudhuria kongomano la majaji na pindi alipoingia eneo husika, wote waliokuwemo wakamshangilia na kumpa pongezi nyingi kwa uthubutu wake Kenya.




Chief Justice David Maraga at the Supreme Court, Nairobi, on September 20, 2017. PHOTO | JEFF ANGOTE | NATION MEDIA GROUP

By John Namkwahe


Chief Justice David Maraga on Monday attended the opening of the Commonwealth Magistrates and Judges Conference, in Dar es Salaam, Tanzania.

His introduction at the conference was greeted by a thundering cheer from participants.

Judge Maraga, who recently led the Supreme Court in a ruling to invalidate President Uhuru Kenyatta's win in last month's election, declined to give interview to journalists.

During the meeting, Tanzania Chief Justice Ibrahim Juma made a special mention of Justice Maraga.

"We are deeply honoured by your presence - Hon Chief Justice Maraga," said Judge Juma.

Maraga causes a stir in Tanzania
 
Niliona oneday b4 the Supreme Court ruling eti Uhuru Kinyatta yupo Park ana angalia Viboko mtoni.

Aendelee kuangalia Viboko aonane na CJ Maraga
 

Natumai amepata popularity aliyokuwa akitafuta. Kweli waafrika tuko na shida. Usije shangaa kuwa majaji na hakimu hao 99% hawajasoma ruling ya Maraga. Wao tu wako excited. Naomba kusiwe na jinga litakalotoka hapo kwenda kutengua uchaguzi wa taifa lake ili tu apate sifa
 
Maraga ako sawa..ulitarajia aseme uhuru ameshinda kihalali ndio. umsifie?
 
Niliona oneday b4 the Supreme Court ruling eti Uhuru Kinyatta yupo Park ana angalia Viboko mtoni.

Aendelee kuangalia Viboko aonane na CJ Maraga
Next time atakaa kwa ofisi sio mtoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakenya wa Jf mnapenda habari za kusifiana na kushangiliwa Tu.

Tupeni na updates za maaandamano ya Odinga wasee.

Au ndiyo uzalendo?
 
Hao ni CCM camp.
 
Wakenya wa Jf mnapenda habari za kusifiana na kushangiliwa Tu.

Tupeni na updates za maaandamano ya Odinga wasee.

Au ndiyo uzalendo?
Always kenyans want to be praised. I met one book written haya tribe in Tanzania most intelligent in africa followed by Kikuyu in kenya, I decided to show one of my kenyan friend , you know what she said? Hahahaha that no Tanzanian can be intelligent than kenyan hahahah
 
Hope you believed her.
 
Hope you believed her.
BOOM! Siku hizi huna masihara mkuu, umekuwa fire extinguisher kabisa, kuwazima kuwazima ndo zako! πŸ™‚ Ririkana morio, mweri 26, ni kuumera kuumera ta thuraku!
 
Ndo umeandika ujinga gani hapa wewe? Umekumbuka kwanu Bungoma county nini?
Acha umbea wewe, hiyo ni coded message ya secret society yetu flani, sitaitaja kwa jina. Kwa hivyo tembeza kiatu buda! Afu mjinga mkubwa ni wewe ambaye ndani ya ujinga wako bado kuna kaujinga flani ndani yake! Thie ukiumaga, menya ciaku nyamenyamenya!
 
BOOM! Siku hizi huna masihara mkuu, umekuwa fire extinguisher kabisa, kuwazima kuwazima ndo zako! πŸ™‚ Ririkana morio, mweri 26, ni kuumera kuumera ta thuraku!

Naskia birthday ya UK tunaifanyia kwenye vituo vya kupigia kura.
 
Ni unafiki wa hali ya juu kwa Jaji Mkuu na Watanzania kumshangilia Maraga huku tukijua tuna Katiba isiyoruhusu matokeo kupingwa Mahakamani!
 
Na hapo ndio umuhimu wa nchi kuwa na judicial service commission kuangalia maamuzi ya majaji ndipo inatakikana sana.Professionalism badala ya sifa ndio cha muhimu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…