Jaji mkuu Maraga apokewa kishujaa na kwa shangwe Tanzania

Jaji mkuu Maraga apokewa kishujaa na kwa shangwe Tanzania

Natumai amepata popularity aliyokuwa akitafuta. Kweli waafrika tuko na shida. Usije shangaa kuwa majaji na hakimu hao 99% hawajasoma ruling ya Maraga. Wao tu wako excited. Naomba kusiwe na jinga litakalotoka hapo kwenda kutengua uchaguzi wa taifa lake ili tu apate sifa

Mapumbafu yapo mengi sana ,
Wataiga Na kuitumia hukumu ya cj Maraga km reference, hata km hakuna ushahidi kutosha kurudia uchaguzi.
 
Wakenya wa Jf mnapenda habari za kusifiana na kushangiliwa Tu.

Tupeni na updates za maaandamano ya Odinga wasee.

Au ndiyo uzalendo?
kuna theorie moja ya maendeleo inasema nchi au mtu maskini lazims atajilinhanisha na mwenzie mbona flani kafanya hivi
 
Natumai amepata popularity aliyokuwa akitafuta. Kweli waafrika tuko na shida. Usije shangaa kuwa majaji na hakimu hao 99% hawajasoma ruling ya Maraga. Wao tu wako excited. Naomba kusiwe na jinga litakalotoka hapo kwenda kutengua uchaguzi wa taifa lake ili tu apate sifa

Namuona Jaji moja anawaza jinsi atakavyo soma hukumu ya kutengua uchaguzi 2020.
Wa Africa kwa copy and paste hawako nyuma.
 
😀
434315774_113750.jpg
 
Alikwenda kule Tanzania kuhudhuria kongomano la majaji na pindi alipoingia eneo husika, wote waliokuwemo wakamshangilia na kumpa pongezi nyingi kwa uthubutu wake Kenya.


MARAGA.jpg


Chief Justice David Maraga at the Supreme Court, Nairobi, on September 20, 2017. PHOTO | JEFF ANGOTE | NATION MEDIA GROUP

By John Namkwahe


Chief Justice David Maraga on Monday attended the opening of the Commonwealth Magistrates and Judges Conference, in Dar es Salaam, Tanzania.

His introduction at the conference was greeted by a thundering cheer from participants.

Judge Maraga, who recently led the Supreme Court in a ruling to invalidate President Uhuru Kenyatta's win in last month's election, declined to give interview to journalists.

During the meeting, Tanzania Chief Justice Ibrahim Juma made a special mention of Justice Maraga.

"We are deeply honoured by your presence - Hon Chief Justice Maraga," said Judge Juma.

Maraga causes a stir in Tanzania
Hata Diamond anashangiliwa akija Nairobi
 
Back
Top Bottom