Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju amewacharukia mawakili na wadau wa mahakama kwa kushindwa kutumia vyema mamlaka waliyo nayo na kusababisha kuchelewa au kusuasua kwa kesi ambazo ushahidi wake umekamilika.
Msikie alichokisema Masaju katika kikao cha pamoja cha wadau wa mahakama wakiwemo mawakili.
Soma:
Msikie alichokisema Masaju katika kikao cha pamoja cha wadau wa mahakama wakiwemo mawakili.