Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mzee Masaju tangu amekuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, ameonyesha wazi apendezewi na baadhi ya mambo yanaendelea kwenye mahakama.
Amekuwa akiwapa ukweli watendaji wote wa mahakama. Safi sana na kila la kheri kwenye kazi zako
Licha wanaweza kujitokeza wanamtandao wakaanza kukuletea habari sizo, wewe endelea kusema ukweli kwaajili ya wananchi wa Tanzania
==================
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju amewataka mahakimu wakazi wapya kwenda kuviishi viapo vyao walivyoapa kwa kutumia vitabu vitakatifu.
Masaju ameyasema hayo wakati wa kuwaapisha mahakimu wakazi wapya 89 walioapishwa jijini Dodoma.