Awe wazi anamsuta nani!!!!kuwakubali na kuwapokea mawakili wapya katika uku
huyu jaji atolee ufafanuzi kesi ya mpina na lissu pia wahaini wenye vijora kwenye mahakama zake badala ya kutoa povuNimeona imezuka tabia ya hovyo sana; wakishinda kesi wanasema mahakama iko huru na wanaisifia, lakini siku wakipoteza kesi wanasema mahakama haiko huru. Nani anasema mahakama haiko huru? Hii ni akili gani? Mnataka kushinda kesi kwa ku-blackmail mahakama? Hatutakubali.” Hayo ni maneno ya Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, akiikemea vikali tabia ya baadhi ya mawakili na wadau wa sheria wanaotumia mahakama vibaya.
Akizungumza kama mgeni rasmi katika sherehe ya 73 ya kuwakubali na kuwapokea mawakili wapya katika ukumbi wa Mabeyo Complex, Dodoma siku ya Ijumaa, Masaju ameonya kuwa misimamo ya aina hiyo inalenga kuichafua mahakama, kuidhalilisha hadharani na kuhatarisha misingi ya uhuru wa kimahakama nchini. Amesema baadhi ya wadau wamekuwa wakijenga taswira potofu kwa umma, wakitumia matokeo ya kesi kuishinikiza au kuibeza mahakama kulingana na maslahi yao ya muda.
Jaji Mkuu pia amekazia umuhimu wa weledi, uwezo na maandalizi ya kutosha miongoni mwa mawakili, akisema taifa limekuwa likiumia kwa muda mrefu kutokana na ukosefu wa weledi katika uendeshaji wa kesi na usimamizi wa haki.
Aidha amewakumbusha mawakili wapya kujiandaa wanapokwenda mahakamani kwani baadhi ya mawakili wamekuwa wakiingia mahakamani bila maandalizi, jambo linalodhalilisha taaluma na kupoteza muda wa mahakama. Ameonya kuwa tabia hiyo haiwezi kuvumiliwa.
This mazafaka won’t heal a wound he refuses to see!Nimeona imezuka tabia ya hovyo sana; wakishinda kesi wanasema mahakama iko huru na wanaisifia, lakini siku wakipoteza kesi wanasema mahakama haiko huru. Nani anasema mahakama haiko huru? Hii ni akili gani? Mnataka kushinda kesi kwa ku-blackmail mahakama? Hatutakubali.” Hayo ni maneno ya Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, akiikemea vikali tabia ya baadhi ya mawakili na wadau wa sheria wanaotumia mahakama vibaya.
Akizungumza kama mgeni rasmi katika sherehe ya 73 ya kuwakubali na kuwapokea mawakili wapya katika ukumbi wa Mabeyo Complex, Dodoma siku ya Ijumaa, Masaju ameonya kuwa misimamo ya aina hiyo inalenga kuichafua mahakama, kuidhalilisha hadharani na kuhatarisha misingi ya uhuru wa kimahakama nchini. Amesema baadhi ya wadau wamekuwa wakijenga taswira potofu kwa umma, wakitumia matokeo ya kesi kuishinikiza au kuibeza mahakama kulingana na maslahi yao ya muda.
Jaji Mkuu pia amekazia umuhimu wa weledi, uwezo na maandalizi ya kutosha miongoni mwa mawakili, akisema taifa limekuwa likiumia kwa muda mrefu kutokana na ukosefu wa weledi katika uendeshaji wa kesi na usimamizi wa haki.
Aidha amewakumbusha mawakili wapya kujiandaa wanapokwenda mahakamani kwani baadhi ya mawakili wamekuwa wakiingia mahakamani bila maandalizi, jambo linalodhalilisha taaluma na kupoteza muda wa mahakama. Ameonya kuwa tabia hiyo haiwezi kuvumiliwa.
Jaji mkuu mpumbavu anayedhani upumbavu wowote atakaosema utakubalika, naye ni chawa tu kama chawa wengine kwani asingekuwa chawa mahakama zisingekuwa zinapokea maagizo na maelekezo kutoka kwa Samia na genge la wahuni mafisadi wezi wa mali za Tanganyika.Nimeona imezuka tabia ya hovyo sana; wakishinda kesi wanasema mahakama iko huru na wanaisifia, lakini siku wakipoteza kesi wanasema mahakama haiko huru. Nani anasema mahakama haiko huru? Hii ni akili gani? Mnataka kushinda kesi kwa ku-blackmail mahakama? Hatutakubali.” Hayo ni maneno ya Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, akiikemea vikali tabia ya baadhi ya mawakili na wadau wa sheria wanaotumia mahakama vibaya.