Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,310
- 13,098
Mahakama hazipo huru. Aache Ujinga.
Unasoteshwa gerezani for more than a year halafu DPP ana withdrawal case eti hana nia ya kuendelea na shauri lile. Na Mtuhumiwa hana namna yeyote ya kuwafungulia mashitaka/kudai fidia.Mahakama gani duniani inaweza pokea mashitaka ya serikali kwa mtuhumiwa ambae ushahidi wake aujakamilika.
Au ni wapi duniani mtu anakamatwa kwa tuhuma na kuwekwa jela, kabla ya polisi na DPP kukamilisha uchunguzi na kukusanya ushahidi.
Kwa Tanzania hii ni kawaida sasa sijajua kama kuna sheria inaruhusu hivyo. Iła kwengine duniani kufanya hivyo ni unthinkable uwezi kamata mtu ata kwenye kesi ya mauaji bila ya kukamilisha ushahidi kwanza.
Tanzania polisi wanakuweka jela, wanakufungulia kesi; halafu wakienda unaambiwa ushahidi aujakamilika na mahakama ina entertain huo unyanyasaji na uvunjivu wa haki.
Mahakama ya Tanzania utoaji wake haki una utata sana.
Ukisikia mtu anaanza kujitetea kabla hujamuuliza jua ni mkisefu kweli na anajihisi.Yaani anaamini bado tuko kwenye giza kiasi kwamba yeye akisema mahakama ziko huru, basi automatically ni huru? Kinachofanya mahakama kuwa huru ni utendaji wake, na sio kwa utetezi wa Jaji mkuu.
Juzi tu hapa, Rais alituambia kuwa, alipoonana na "WALE WALIOISHIWA HATA HELA YA KULA" kule Ughaibuni, eti baada ya kuwapa hela yake ya kujikimu safarini, walidai wanashindwa kurudi home, kwani wana kesi. Akawaambia warudi tu, kwani "ATAZIFUTA KESI" zao! Huko si kuingilia MAHAKAMA?Mahakama hazipo huru. Aache Ujinga.
Ni watu ambao wanaishi kwenye zama za ‘dark ages’.Unasoteshwa gerezani for more than a year halafu DPP ana withdrawal case eti hana nia ya kuendelea na shauri lile. Na Mtuhumiwa hana namna yeyote ya kuwafungulia mashitaka/kudai fidia.
Hakuna kitu kinasikitisha kama utendaji kazi wa hawa Majaji wetu. Mfano Jaji aliyehudumu kwa miaka mingi kwenye chombo cha kutoa Haki, anaposimama kusema uongo.
Hebu fikiria M/kiti wa Tume ya Huru ya Uchaguzi anasoma na kutangaza matokeo ya uchaguzi ya uongo kabisa huku akifahamu fika kuwa ni ya uongo. Hukumu alizowahi kuzitoa tutaziaminije?? Huo ni ushahidi tosha kwamba Mahakama zetu haziko Huru.
Siku tukipata uhuru wa kweli, kitu cha kwanza kukifuta na kukijenga upya litakuwa jeshi la polisi, DPP, DCI, itafuatiwa na Mahakama ya Tanzania, na baadae Usalama wa Taifa na mwisho Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa, Hizi Taasisi ndizo zimetufikisha hapa tulipo leo. Ni Taasisi muhimu sana lakini zimegeuka kuwa taasisi chawaSiku zote ukiwa upande wa kufaidika Huwa hatuoni madhira wayapatayo wenzetu.
Mfano mzuri ni kesi ya Lissu,hii Ina maelezo na alitiwa nguvuni ili asimharibie kahaba kuingia ikulu,na mungu alivyo mweza wa yote yeye ana enda fia Hague, ICC akumwacha Lissu uraiani
Kiufupi masaju aache uhuni,kama Tanzania tunahitaji separation of powers ili kulinda msitakabali wa nchi yetu
Kwa ujumla, uhuru wa Mahakama za Tanzania upo kisheria, lakini utekelezaji wake unategemea mazingira ya kisiasa, utendaji wa mihimili mingine, hivyo Tanzania mahakama zake ni za wanasiasa