SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Endeleen kupiga makelele ya Wagombea wawe watatu, Mmoja au wawili ila ni Mheshimiwa Jaji Mkuu Masaju atakayemuapusha Mheshimiwa Dr SSH kuwa Rais wa JMT 2025-2030
NaamMama mitano 5 hakuna mjadala
Haina ata raha maana ni dhahiri sio chaguo la wengi, halubaliki, kachokwa, ni kiongozi dhaifu. Rushwa, utekaji wa wakosoaji, matumizi mabaya ya fedha za umma na uzembe vimekithiri.Endeleen kupiga makelele ya Wagombea wawe watatu, Mmoja au wawili ila ni Mheshimiwa Jaji Mkuu Masaju atakayemuapusha Mheshimiwa Dr SSH kuwa Rais wa JMT 2025-2030 baada ya ushindi mnono.
Ninyi ndio mnaochafua Hali ya hewa Kwa uchawa wenu usio na maana.Endeleen kupiga makelele ya Wagombea wawe watatu, Mmoja au wawili ila ni Mheshimiwa Jaji Mkuu Masaju atakayemuapusha Mheshimiwa Dr SSH kuwa Rais wa JMT 2025-2030 baada ya ushindi mnono.
Amani kwanza