GE2025 Jaji Mkuu Masaju ndio atamuapisha Rais Dr SSH kuongoza tena 2025-2030

GE2025 Jaji Mkuu Masaju ndio atamuapisha Rais Dr SSH kuongoza tena 2025-2030

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Haina ata raha maana ni dhahiri sio chaguo la wengi, halubaliki, kachokwa, ni kiongozi dhaifu. Rushwa, utekaji wa wakosoaji, matumizi mabaya ya fedha za umma na uzembe vimekithiri.
Kwani Tanzania kulishawahi kuwa .na uchaguzi wa wengi mimi nasema twendeni kila mtu atafika kivyake asubuhi nikiliangalia kundi la maelfu ya watoto wanakwenda mashuleni huwa nawahurumia sana kwani baada ya kumaliza shule asimia kubwa wanakuwa mateja na wezi kwa sasa majela yamefurika kiasi hayatoshi na kuongezwa hayaongezwi
 
Endeleen kupiga makelele ya Wagombea wawe watatu, Mmoja au wawili ila ni Mheshimiwa Jaji Mkuu Masaju atakayemuapusha Mheshimiwa Dr SSH kuwa Rais wa JMT 2025-2030 baada ya ushindi mnono.
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
FaizaFoxy
Mpwayungu Village
Mkijitambua ninyi ni WaTanganyika mtutafute.

Furaha na matumaini ya leo ni ya muda mfupi sana lakini mtakuja kulia na kuomboleza sana wakati mkiona mhindi mwarabu muabeshi amemiliki hata mlima Kilimanjaro.

Watoto wenu na wajukuu zenu watageuka kuwa watumwa.
 
Back
Top Bottom