Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Hamis Juma ameyasema hayo leo hii trh 1/2/2023 katika maadhimisho ya wiki ya sheria.
amesema Serikali ilitoa fedha za kununua "software" ambayo imesha nunuliwa na sasa zitafungwa mahakamani ili kutafsiri kutoka kimombo kwenda kiswahili, hili ni jambo jema kwani litrahisisha kupatikana kwa haki za wananchi kwa haraka na wakati.
Ombi letu sisi waanaanchi; tunaomba vifaa hivyo vifungwe kwenye mahakama za chini sio mahakama za juu tu, tunaomba vifaa hivyo vianze kutumiwa kwenye mahakama za wilaya na mikoa.