Huu ni upumbavu mkubwa sana yaani majaji wenye English Utopolo kabisa wanashindwa kuandika hukumu za English Kwa wakati wanashindwa kutoa hukumu Kwa kiswahili huu ni ushetani tunahitaji vifaa vya kutafsiri kiingereza kwenda kwenye kiswahili.Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Hamis Juma ameyasema hayo leo hii trh 1/2/2023 katika maadhimisho ya wiki ya sheria.
amesema Serikali ilitoa fedha za kununua "software" ambayo imesha nunuliwa na sasa zitafungwa mahakamani ili kutafsiri kutoka kimombo kwenda kiswahili, hili ni jambo jema kwani litrahisisha kupatikana kwa haki za wananchi kwa haraka na wakati.
Ombi letu sisi waanaanchi; tunaomba vifaa hivyo vifungwe kwenye mahakama za chini sio mahakama za juu tu, tunaomba vifaa hivyo vianze kutumiwa kwenye mahakama za wilaya na mikoa.
Nani atakata?Nyaya za server zitakuwa zinakatwa kila siku ilimradi watu watoe hukumu za milungula
Kila mabadiliko huleta hofu kwa waliozoea mambo fulani Fulani,na juhudi za kukwamisha mabadiliko hufanyika,angalia tulipoingia kutumia mashine za EFD wafanyabishara walifanyaje?angalia serikali ilipoanza kutumia POS nini kinatokea hadi leo,angalia wenye mabasi walipoambiwa waanze kutumia mashine kukatia tiketi walifanya nini na mpaka sasa wangapi wanacomply ndio utajua kwanini nimesema hivyo.Nani atakata?
Na kwanini uhisi zitakatwa?
Huna Imani na mahakama zetu tukufu?
Be careful mdomo uliponza kichwa
Sawa mkuu,ila Facebook ni mtandao mkubwa kuliko jamiiforumKila mabadiliko huleta hofu kwa waliozoea mambo fulani Fulani,na juhudi za kukwamisha mabadiliko hufanyika,angalia tulipoingia kutumia mashine za EFD wafanyabishara walifanyaje?angalia serikali ilipoanza kutumia POS nini kinatokea hadi leo,angalia wenye mabasi walipoambiwa waanze kutumia mashine kukatia tiketi walifanya nini na mpaka sasa wangapi wanacomply ndio utajua kwanini nimesema hivyo.
Halafu hii ni JF jenga hoja zako habari za be careful peleka Facebook huko.
hilo swali linapswa lijibiwe na waziri wa katiba na sheria.Kwann hizo sheria na vitabu havikuandikwa kwa kiswahili tangu hapo awali?
Nyaya za server zitakuwa zinakatwa kila siku ilimradi watu watoe hukumu za milungula
Hapo SasaAkili bandia kwenye kesi Bandia
Ok mkuu,ila kumbuka JF is where we dare to speak openly.Sawa mkuu,ila Facebook ni mtandao mkubwa kuliko jamiiforum
bora kuliko sisi tulio wengi hatuambulii chochote kwenye kimombo.Kiswahili chake sasa ni ile kiswahili ya kikuyu ya kenya.
Naelewa mkuu, fungukaaOk mkuu,ila kumbuka JF is where we dare to speak openly.