Kariobangi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2022
- 480
- 435
Naam na ndipo utaona umuhimu wa kutawaliwa na Sheria iliyotoka kwa muumba na sio hizi za kutungwa na wanadamu kwa matamanio ya nafsi zaoMahakama na sheria hazipo kwa ajili ya kutoa haki. Madhumuni yake, kwa maoni yangu, ni kuhakikisha nchi inatawalika.