Kariobangi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2022 Posts 480 Reaction score 435 May 6, 2023 #21 Mtutuwandei said: Mahakama na sheria hazipo kwa ajili ya kutoa haki. Madhumuni yake, kwa maoni yangu, ni kuhakikisha nchi inatawalika. Click to expand... Naam na ndipo utaona umuhimu wa kutawaliwa na Sheria iliyotoka kwa muumba na sio hizi za kutungwa na wanadamu kwa matamanio ya nafsi zao
Mtutuwandei said: Mahakama na sheria hazipo kwa ajili ya kutoa haki. Madhumuni yake, kwa maoni yangu, ni kuhakikisha nchi inatawalika. Click to expand... Naam na ndipo utaona umuhimu wa kutawaliwa na Sheria iliyotoka kwa muumba na sio hizi za kutungwa na wanadamu kwa matamanio ya nafsi zao