DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya, David Maraga amejiunga katika maandamano ya vijana (Gen Z) jijini Nairobi akilaani ukatili wa Jeshi la Polisi dhidi ya vijana.
Maelfu ya waandamanaji nchini Kenya wameingia mitaani kuadhimisha mwaka mmoja tangu vifo vya waandamanaji waliouawa wakati wa maandamano ya kupinga Muswada wa Sheria ya Fedha mwaka 2024.