PreGE2025 Jaji Mkuu Mstaafu Mutunga, Martha Karua na wenzake 4 waiburuza Serikali ya Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki. Wataka fidia na msamaha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu,

Yaani hakuna kupumzika. Sasa hivi Serikali haipati tu upinzani kutoka ndani lakini hadi nje.

Haya sasa, Martha Karua kaamua kuipeleka Serikali yenu Mahakamani.

================================

Martha Karua na wanaharakati wengine wanne wameiburuza na kuishtaki Serikali ya Tanzania kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki kwa madai ya kukamatwa kinyume cha sheria, kukataliwa kuingia Tanzania na kurudishwa Kenya

Pia wanaharakati hao wametaka kuombwa msamaha na Serikali ya Tanzania pamoja na kulipwa fidia kwa walichofanyiwa

View attachment 3363304

Source: Citizen TV Kenya
Safi
 
Usipotekeleza hukumu unalazimishwa hata kwa kukamata Mali zako
Nani akamate mali za nani?

Kwa mamlaka gani?

Biashara tu bado tuna sua sua.

Kila siku unasikia soko la pamoja, lakini restrictions kibao na tuna jumuiya.
 
Hiyo ni mahakama ya jumuiya ya afrika mashariki.
Tanzania ni mwanachama wa jumuiya ya afrika mashariki.
Naomba niambie tulijitoa.lini kwenye jumuiya ya affrika.mashariki na kwenye hiyo mahakama
Watuletee za kuleta halafu ooh mtulipe na fidia wajinga wakubwa wamezoea kingereza cha kenya na siasa ongea kingereza za kenya lugha ya mkononi

Sisi chetu kiswahili waambieni hao wajinga akina Martha Karua na wenzake

Tanzania is not an English medium country kingereza chao wapeleke uingereza

Hiyo kesi hawataambulia kitu na kingereza chao

Wajinga hao

Tanzania is not their Equal
 
Magufuli alitangaza kujitoa kwenye mahakama hiyo tafuta utajua ni lini.

Mahakama siyo jumuiya, na kujiunga kwenye jumuiya siyo kwamba imejiunga kwenye kila kitu.
Siyo kweli hatujawahi kujitoa kwenye hiyo mahakama nakushahuri fanya research yako vizuri
 
Attachments

  • Screenshot_20250610_165729_Chrome.jpg
    Screenshot_20250610_165729_Chrome.jpg
    371.1 KB · Views: 25
SErikali ya Tanzania iliishajitoa huko.

Na kesi za huko hata wakishinda hukumu huwa hazitekelezwi.
Umechanganya madesa Tanzania ilijitoa kwenye baadhi ya vipengele kwenye mahakama nyingine ya African court on human and people's right n sio hii .
 
Attachments

  • Screenshot_20250610_170102_Google.jpg
    Screenshot_20250610_170102_Google.jpg
    423.7 KB · Views: 27
Wakuu,

Yaani hakuna kupumzika. Sasa hivi Serikali haipati tu upinzani kutoka ndani lakini hadi nje.

Haya sasa, Martha Karua kaamua kuipeleka Serikali yenu Mahakamani.

================================

Martha Karua na wanaharakati wengine wanne wameiburuza na kuishtaki Serikali ya Tanzania kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki kwa madai ya kukamatwa kinyume cha sheria, kukataliwa kuingia Tanzania na kurudishwa Kenya

Pia wanaharakati hao wametaka kuombwa msamaha na Serikali ya Tanzania pamoja na kulipwa fidia kwa walichofanyiwa

View attachment 3363304

Source: Citizen TV Kenya
Ukiinama nchale, ukiinuka nchale serikali kazi wanayo 😄 😄
Ikiwezekana waende hadi ICC
 
Wakuu,

Yaani hakuna kupumzika. Sasa hivi Serikali haipati tu upinzani kutoka ndani lakini hadi nje.

Haya sasa, Martha Karua kaamua kuipeleka Serikali yenu Mahakamani.

================================

Martha Karua na wanaharakati wengine wanne wameiburuza na kuishtaki Serikali ya Tanzania kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki kwa madai ya kukamatwa kinyume cha sheria, kukataliwa kuingia Tanzania na kurudishwa Kenya

Pia wanaharakati hao wametaka kuombwa msamaha na Serikali ya Tanzania pamoja na kulipwa fidia kwa walichofanyiwa

Aliyekuwa Jaji Mkuu wa Kenya, Dkt. Willy Mutunga, Wakili Mwandamizi Martha Karua, pamoja na watu wengine wanne, wamefungua kesi katika Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EACJ) dhidi ya Serikali ya Tanzania, wakidai kuwekwa kizuizini kinyume cha sheria, kunyimwa kuingia nchini, na kufukuzwa.

Kundi hilo, ambalo pia linajumuisha wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu wanne: Gloria Kimani, Lynn Ngugi, Hussein Khalid, na Hanifa Adan, wamedai kuwa haki zao kama raia wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zilikiukwa waziwazi walipozuiwa kuingia Tanzania kushuhudia kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu.

Waombaji wanasema kuwa kati ya Mei 18 hadi 19, 2025, walikamatwa bila maelezo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, pasipoti zao zikachukuliwa, na baadaye wakafukuzwa kurejea Kenya.

Wameeleza kuwa walikuwa nchini Tanzania kama sehemu ya ujumbe wa waangalizi wa kimataifa, kwa lengo la kushiriki na kufuatilia mwenendo wa kesi ya Lissu iliyopangwa kuanza Mei 19.

Katika ombi lao, kundi hilo limeishtaki Tanzania kwa kuvunja vifungu mbalimbali vya Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, hasa vinavyohusiana na utawala wa sheria, uwazi, uongozi bora, na haki ya uhuru wa kusafiri ndani ya nchi wanachama.

Kesi hiyo pia inadai kuwa kuondolewa kwao kulidhoofisha ushiriki wa kiraia na kuvunja dhana ya haki ya wazi, kwa kuwanyima fursa ya kushuhudia mchakato wa kisheria wa umuhimu wa kikanda.

Kesi hiyo imewasilishwa kwa ushirikiano na mashirika mawili ya kutetea maslahi ya umma: Jumuiya ya Wanasheria Afrika Mashariki (EALS) na Umoja wa Wanasheria wa Afrika (PALU), ikieleza kuwa hatua za Tanzania hazikuzingatia masharti ya Kifungu cha 6(d), 7(2), 76, 104, na 8(1)(c) of the EAC Treaty and the EAC Common Market Protocol of 2009.

Waombaji pia wanataka maelezo ya “kukataliwa kuingia” yafutwe kutoka kwenye pasipoti zao, na mahakama itoe amri ya kuizuia Tanzania kuendelea kukiuka haki ya usafiri huru kwa raia wa Afrika Mashariki.

Kesi hiyo inatarajiwa kuhamishiwa makao makuu ya EAC mjini Arusha, ambako tarehe ya kusikilizwa itapangwa na mahakama katika wiki zijazo.

Uamuzi wa kesi hii unaweza kuweka msingi muhimu wa utekelezaji wa haki za kikanda ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Source: Citizen TV Kenya
Hao wanahangaika tu. Tanzania sio Kenya. Kama hawana kazi za kufanya waje huku Missungwi watusaidie kulima na maksai!
 
Ngoja tuone itaishaje hii
 
The government of Tanzania may be sued through the African Commission, other member States Parties to the Protocol, or African intergovernmental organizations.
 
Wana hamu sana ya kuja Tanzania.

Sijawahi ona mtu analazimishwa kumkaribisha mtu kwake.

Kesi ya hovyo sana hiyo.
 
SErikali ya Tanzania iliishajitoa huko.

Na kesi za huko hata wakishinda hukumu huwa hazitekelezwi.
Hawa waliofungua ni raia wa nchi nyingine...

Wasipotekeleza, hukumu itakaziwa na Mali za Tanzania popote zilipo zitakamatwa na kupigwa mnada kulipia fidia itakayodaiwa (iwapo Kuna madai ya fidia)

Aidha, Tanzania ikishindwa ktk kesi hii na kukataa kutekeleza hukumu itakayotolewa, itakuwa inahatarisha uwepo wa Jumuiya yenyewe.

Ishu hapa ni ujinga wa mamlaka za Tanzania kushindwa ku - handle ishu ile ambayo kiukweli ilikuwa ndogo sana..

Lakini mnakamata raia wa nchi nyingine walioingia nchini kwenu kihalali, hamuwambii makosa yao, hamuwapeleki mahakamani kama wahalifu badala yake mnawatesa, mnawadhalilisha kijinsia (kuwafira na kuwalawiti) halafu mnawabeba na kuwatupa mpakani kuelekea kwenye nchi zao..?

Huu ulikuwa ni upuuzi. Walipie madhambi na makosa yao
 
Wakuu,

Yaani hakuna kupumzika. Sasa hivi Serikali haipati tu upinzani kutoka ndani lakini hadi nje.

Haya sasa, Martha Karua kaamua kuipeleka Serikali yenu Mahakamani.

================================

Martha Karua na wanaharakati wengine wanne wameiburuza na kuishtaki Serikali ya Tanzania kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki kwa madai ya kukamatwa kinyume cha sheria, kukataliwa kuingia Tanzania na kurudishwa Kenya

Pia wanaharakati hao wametaka kuombwa msamaha na Serikali ya Tanzania pamoja na kulipwa fidia kwa walichofanyiwa

Aliyekuwa Jaji Mkuu wa Kenya, Dkt. Willy Mutunga, Wakili Mwandamizi Martha Karua, pamoja na watu wengine wanne, wamefungua kesi katika Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EACJ) dhidi ya Serikali ya Tanzania, wakidai kuwekwa kizuizini kinyume cha sheria, kunyimwa kuingia nchini, na kufukuzwa.

Kundi hilo, ambalo pia linajumuisha wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu wanne: Gloria Kimani, Lynn Ngugi, Hussein Khalid, na Hanifa Adan, wamedai kuwa haki zao kama raia wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zilikiukwa waziwazi walipozuiwa kuingia Tanzania kushuhudia kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu.

Waombaji wanasema kuwa kati ya Mei 18 hadi 19, 2025, walikamatwa bila maelezo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, pasipoti zao zikachukuliwa, na baadaye wakafukuzwa kurejea Kenya.

Wameeleza kuwa walikuwa nchini Tanzania kama sehemu ya ujumbe wa waangalizi wa kimataifa, kwa lengo la kushiriki na kufuatilia mwenendo wa kesi ya Lissu iliyopangwa kuanza Mei 19.

Katika ombi lao, kundi hilo limeishtaki Tanzania kwa kuvunja vifungu mbalimbali vya Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, hasa vinavyohusiana na utawala wa sheria, uwazi, uongozi bora, na haki ya uhuru wa kusafiri ndani ya nchi wanachama.

Kesi hiyo pia inadai kuwa kuondolewa kwao kulidhoofisha ushiriki wa kiraia na kuvunja dhana ya haki ya wazi, kwa kuwanyima fursa ya kushuhudia mchakato wa kisheria wa umuhimu wa kikanda.

Kesi hiyo imewasilishwa kwa ushirikiano na mashirika mawili ya kutetea maslahi ya umma: Jumuiya ya Wanasheria Afrika Mashariki (EALS) na Umoja wa Wanasheria wa Afrika (PALU), ikieleza kuwa hatua za Tanzania hazikuzingatia masharti ya Kifungu cha 6(d), 7(2), 76, 104, na 8(1)(c) of the EAC Treaty and the EAC Common Market Protocol of 2009.

Waombaji pia wanataka maelezo ya “kukataliwa kuingia” yafutwe kutoka kwenye pasipoti zao, na mahakama itoe amri ya kuizuia Tanzania kuendelea kukiuka haki ya usafiri huru kwa raia wa Afrika Mashariki.

Kesi hiyo inatarajiwa kuhamishiwa makao makuu ya EAC mjini Arusha, ambako tarehe ya kusikilizwa itapangwa na mahakama katika wiki zijazo.

Uamuzi wa kesi hii unaweza kuweka msingi muhimu wa utekelezaji wa haki za kikanda ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Source: Citizen TV Kenya
Safi sana,wale wamchukue huyo kimama kifupi kama diaba waondoke nacho
 
Ile mahakama ya Afrika Tanzania ilijitoa. Lakini hii ya EA bado tupo
Tanzania haijajitoa kwenye African Court of People's and Human Rights isipokuwa iliazimia kuvikataa baadhi ya articles zake ambazo zinaruhusu mtu binafsi na taasisi zisizo za kiserikali (ngo) kuishtaki Tanzania.
Tanzania ilijitoa kwenye hivyo vifungu tu
 
Attachments

  • Screenshot_20250610_170102_Google.jpg
    Screenshot_20250610_170102_Google.jpg
    423.7 KB · Views: 22
Back
Top Bottom