Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Kwani wewe nani amekulaani hadi ukachaganyikiwaCCM ni shetani kabisa tena walaaniwe wao na vizazi vyao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe nani amekulaani hadi ukachaganyikiwaCCM ni shetani kabisa tena walaaniwe wao na vizazi vyao
Hahahahaa.......daahMwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mheshimiwa Mohammed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, kuwa Kiongozi wa Misheni ya Uangalizi ya Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC - SEOM) katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Mauritius unaotarajiwa kufanyika tarehe 10 Novemba, 2024.
Mheshimiwa Chande ambaye amewasili Mjini Port Louis, Jamhuri ya Mauritius Jumatatu, tarehe 4 Novemba 2024, anatarajiwa kuzindua rasmi Misheni hiyo mapema tarehe 5 Novemba, ambayo inawaangalizi wa uchaguzi takriban sabini kutoka nchi tisa wanachama wa jumuiya hiyo kongwe barani Afrika.
Waangalizi hao wa uchaguzi wanaotarajiwa kuanza kazi baada ya kupitia mafunzo maalum ya siku nne ya uangalizi wa uchaguzi, watapelekwa kwenye wilaya zote kumi za kiutawala nchi nzima, ikiwemo Kisiwa cha Rodrigues.
Mhe. Chande ambaye ameambatana na wajumbe mbalimbali kutoka Tanzania akiwemo Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Mhe. Jaji Francis Mutungi, ataungana na wajumbe wa nchi mbili ambao wapo kwenye uongozi wa utatu wa asasi hiyo yaani Troika (Zambia na Malawi) na kufanya mikutano na wadau mbalimbali wa uchaguzi nchini Mauritius ikiwemo Vyama vya Siasa, Tume ya Uchaguzi, Wizara ya Mambo ya Nje, Mabalozi wa Nchi za SADC waliopo, Jumuiya za Kimataifa, Asasi za Kiraia, Taasisi za Dini na Vyombo vya Habari kwa ajili ya kuelezea kazi ambayo SEOM itafanya kama muangalizi wa uchaguzi.
Viongozi wengine wa Kitaifa ambao hivi karibuni wameteuliwa na Rais Dkt. Samia kama viongozi wa misheni za uangalizi wa chaguzi za Msumbiji na Botswana ni Mhe. Abeid Amani Karume, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mstaafu, pamoja na Mhe. Mizengo Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sources:MFAView attachment 3144320
Mauritius wamejichanganya😅😅Uchaguzi wa hapa nchini unakanyagwa anaenda kuangalia chaguzi za nchi nyingine.
Kwenda zako huko mjinga weweKwani wewe nani amekulaani hadi ukachaganyikiwa
CCM hupita na kushinda kihalali kabisa.Ndio Maana wananchi kuiunga mkono serikali ya CCM iliyopo Madarakani kwa miaka yote.
Uwe na adabu dogoKwenda zako huko mjinga wewe
Haya matakataka ya michichiemu inapeleka ujinga gani huko?Hii ndio dhihaka au kejeli yani majizi ya kura ya hapa nyumbani ndio yakasimamie haki au ndio yakajifunze mbinu mpya za wizi.
Ila wewe jamaa ni mnafiki sana na bila shaka hata wenyewe wanatambua hilo!Inapendeza kuona watanzania tukiendelea kubeba Matumaini ya Bara la Afrika chini ya Rais Samia jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, kuwa Kiongozi wa Misheni ya Uangalizi ya Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC - SEOM) katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Mauritius unaotarajiwa kufanyika tarehe 10 Novemba, 2024.
Mheshimiwa Mohammed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, kuwa Kiongozi wa Misheni ya Uangalizi ya Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC - SEOM)
12 November 2024
kutoka
Port Louis, Republic of Mauritius
Jaji mkuu mstaafu Chande akisoma Taarifa ya Awali ya Mkuu wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa SADC (SEOM)
View: https://m.youtube.com/watch?v=1_-jMi1uGxw
Taarifa ya Awali ya Mkuu wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa SADC (SEOM) kwenye Uchaguzi wa Bunge la Jamhuri ya Mauritius, Mheshimiwa Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyotolewa huko Port Louis, Mauritius tarehe 12 Novemba 2024.