Jaji Mkuu tafadhali pitia marekebisho ya sheria ya kutumia Kiswahili kwenye mahakama, kuna mkanganyiko mkubwa

Jaji Mkuu tafadhali pitia marekebisho ya sheria ya kutumia Kiswahili kwenye mahakama, kuna mkanganyiko mkubwa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Kuna conflicting decisions na mambo mengine ambayo yanafanya matumizi ya kiswahili kuleta shida mahakamani. Mawakili wanaweza kukupa undani wa hoja hii.

Sisemi Kiswahili wakiache matumizi yake yasiwe ya lazima, kuwa na flexibility ya kiingereza na kiswahili mtu achague anataka kutumia lugha gani. Hasa hii inahusu filing of pleadings in which language, Kiswahili or Kiingereza?

Tutajidanganya to do away with English!
 
Sheria Iko wazi kunapotokea mkanganyiko, basi tafsiri ya lugha mama iliyotunga Sheria husika itumike.

Au labda unalenga mkanganyiko upi labda?
 
Sis ni bado ni waathirika wa ukoloni mambo leo.

Nchi ni yetu wenyewe lakini tunatumia lugha ya kigeni kuendesha kesi zetu wenyewe.
 
Back
Top Bottom