Jaji mkuu Tanzania ana uwezo mkubwa wa kuwa shujaa kipindi hiki

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Jaji mkuu Tanzania ana uwezo mkubwa wa kuwa shujaa kipindi hiki. Achana na uchawa wa mahakama hakuna kazi nyingine kubwa utapata.

Weka heshima yako na ya mahakama yako utakumbukwa kama Nyalali. Bila hivyo unaweza vilevile kudhaulisha mahakama.
 
Tulishaidharau toka tuanze shule Kwa Rais Mwalimu Tundu A.Lissu
 
Sasa kama hakimu ameshindwa kuandika miezi mi5 yote pale kisutu itaachaje kuzarauliwa
 
Ngoja tuone mana kila jambo linawakati wake.

Ila kwa kada ya sheria jamaa yupo vizuri sana kwenye ku fanya reference pia kuna mengi ya kujifunza kutoka kwake kwa wenye kupenda sheria.
 
Jaji mkuu Tanzania ana uwezo mkubwa wa kuwa shujaa kipindi hiki. Achana na uchawa wa mahakama hakuna kazi nyingine kubwa utapata.

Weka heshima yako na ya mahakama yako utakumbukwa kama Nyalali. Bila hivyo unaweza vilevile kudhaulisha mahakama.
Aangalie yasije yakamkuta ya Ndugai
 
Jaji mkuu Tanzania ana uwezo mkubwa wa kuwa shujaa kipindi hiki. Achana na uchawa wa mahakama hakuna kazi nyingine kubwa utapata.

Weka heshima yako na ya mahakama yako utakumbukwa kama Nyalali. Bila hivyo unaweza vilevile kudhaulisha mahakama.
Upo sahihi kwa tunaomfahamu Msababto Masaju. Kuna mwanga mbele.
 
Aokoe jahazi kwa kesi ilipofikia akifanya mambo ya ajabu atakuwa kajivua nguo na yeye..!!
 
Ngoja tuone mana kila jambo linawakati wake.

Ila kwa kada ya sheria jamaa yupo vizuri sana kwenye ku fanya reference pia kuna mengi ya kujifunza kutoka kwake kwa wenye kupenda sheria.
nakumbuka zile PIFIRAC.watoto wa first year wameteseka sana.kumbe ukisoma law,lazima u cite kesi ndio mana nilikua nashangaa hawa madogo vipi kutwa mavitu ya 1800 kesi sijui ya nan vs nan.kumbe kwwenye kujitetea lazima urejee kesi fulan hata kama la miaka 200.
 
Back
Top Bottom