Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga amemtuhum IGP Joseph Boinett kwa kupuuzia usalama wa majaji

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
Maraga.jpg

Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga amemtuhumu Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP), Joseph Boinett kwa kupuuzia usalama wa majaji na kwamba anahatarisha maisha yao.

Pamoja na kutoa tuhuma hizo katika tamko la Tume ya Majaji, Maraga amesema hilo halitawarudisha nyuma katika kuilinda katiba na pia wapo tayari kulipia kwa gharama yoyote.

Mtandao wa Gazeti la Daily Nation unamnukuu Maraga akisema: “We are ready to pay the ultimate price for defending the Constitution and the rule of law” (Tupo tayari kulipa gharama yoyote kutetea katiba na utawala wa sheria).

Tamko hilo linamlaumu Boinett kwa kupuuzia wito wa majaji kutaka wapewe ulinzi jambo ambalo linawaweka wao na mali zao katika hatari.

Lilifafanua kuwa mahakama ni mkono wa Serikali kama Bunge na Rais hivyo wanastahili kupewa ulinzi pale wanapoona

“Kama viongozi wamechoka kuwa na mahakama imara, waitishe kura ya maoni iondolewe. Lakini kabla hilo halijafanyika, mahakama itaendelea kufanya kazi yake kama inavyostahili kwa kuzingatia katiba,” ilisisitiza taarifa hiyo

DKFvDJLXcAUs547.jpg
DKFvDJCW4AA5O3A.jpg
DKFvDJIX0AYbAW8.jpg
Maraga.jpg

Chanzo: Mwananchi
 
View attachment 591693
Chief Justice David Maraga has dared those who are not satisfied with the Judiciary to hold a referendum to overhaul the system

Chief Justice David Maraga has condemned the continued attacks on judges and stated that the Judiciary is prepared to pay the ultimate price to protect Constitution and rule of law.

Maraga said Judiciary will not be cowed by the attacks that have ensued following the presidential election petition.

While addressing the press at the Supreme Court, Maraga said that if anything happens to the judges or members of their families, those making inciteful statements will be held liable.

Maraga accused Inspector General of Police Joseph Boinnet of ignoring calls to ensure members of the Judiciary are safe.

He also made reference to a case where Narc-Kenya leader Martha Karua was blocked from accessing Kerugoya Law Courts during hearing of her petition against the election of Kirinyaga Governor Anne Waiguru, terming it intimidation of petitioners.

“It is worrying that these protests are coming up at a time when the Judiciary is preparing to hear 339 cases filed across the country,” said Maraga.

SOURCE: Standard

ni upuzi kutumia mamlaka kuangaisha mahakama kwa madai ya bloggers wa jubileee! tuliona mabomu ya kutoa machozi n.k wakati upinzani walijaribu maandamano kwa supreme court. mbona hawa wa kutoka jubilee wanapewa ruksa kuingia pale pale kama kibandani!!!
 
View attachment 591693
Chief Justice David Maraga has dared those who are not satisfied with the Judiciary to hold a referendum to overhaul the system

Chief Justice David Maraga has condemned the continued attacks on judges and stated that the Judiciary is prepared to pay the ultimate price to protect Constitution and rule of law.

Maraga said Judiciary will not be cowed by the attacks that have ensued following the presidential election petition.

While addressing the press at the Supreme Court, Maraga said that if anything happens to the judges or members of their families, those making inciteful statements will be held liable.

Maraga accused Inspector General of Police Joseph Boinnet of ignoring calls to ensure members of the Judiciary are safe.

He also made reference to a case where Narc-Kenya leader Martha Karua was blocked from accessing Kerugoya Law Courts during hearing of her petition against the election of Kirinyaga Governor Anne Waiguru, terming it intimidation of petitioners.

“It is worrying that these protests are coming up at a time when the Judiciary is preparing to hear 339 cases filed across the country,” said Maraga.

SOURCE: Standard
Well done Maraga we will protect the judiciary as you have requested. Mimi mwenyewe najitolea. Yangu ni kupiga mdomo social media, twitter na kila mahali nikitetea judiciary.
 
KwaKweli Kenya kunawaka moto...every morning a petition in court...JSC under seige...wonder if the next elections will even take place...watching with interest..
 
IGP huyu ndio aliyesemekana kumpa lissu ulinzi huku akimnyima ulinzi Jaji Maraga....Hii ndio Afrika
 
Comrade Jecha Salim Jecha ndie Mtu Pekee kwny Bara la Africaa alifuta Uchaguzi na bado Hali ya Amani ikatamalaki

Nigeria Miaka ya Mwanzoni ya 1990 walijaribu kufuta Uchaguzi wakat wa Mashoud Abiola wakayumba sana!

Kabla ya kujaribu kufuta Uchaguzi ilibidi wapigwe Semina Elekezi na Comrade Jecha Kama kweli wanathamini Amani

Kenya walijifanya kuiga ya Znz sasa Jahazi linapigwa Mawimbi ya Masoon Wind!
 
Tatizo Jaji Maraga anatumia style ile ile aliyotumia Lissu, Kama kweli unahofia Maisha yako unapaswa kwenda Polisi ku report sio kwny Press conference na ku tweet kwny Mitandao
Tanzania mlilaumu Polisi haya sasa na kwa Huyo Mnaemwita Baba wa Democracy Mbona ni the same story
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kuna kitu uhuruto na chama chao walifanya ambacho kinawafanya wawe na taharuki kubwa na chuki ya wazi dhidi ya mahakama. Siyo bure hapa. To be sincere am disappointed with the thuggish actions of uhuruto and their supporters against the court and judges.
 
Wakora hao.
Supreme Court is independent from the executive.
But it is not independent from civil society and opposition.
 
Comrade Jecha Salim Jecha ndie Mtu Pekee kwny Bara la Africaa alifuta Uchaguzi na bado Hali ya Amani ikatamalaki

Nigeria Miaka ya Mwanzoni ya 1990 walijaribu kufuta Uchaguzi wakat wa Mashoud Abiola wakayumba sana!

Kabla ya kujaribu kufuta Uchaguzi ilibidi wapigwe Semina Elekezi na Comrade Jecha Kama kweli wanathamini Amani

Kenya walijifanya kuiga ya Znz sasa Jahazi linapigwa Mawimbi ya Masoon Wind!
Hakukuwa na amani iliyotamalaki MIOYONI mwa wananchi, bali mitaani palitamalaki askari wengi sana, mabomu ya machozi mengi mno, pamoja na magari ya washawasha kibao...!!!

Yote hayo yasingekuwepo, ndo ungeweza kujudge kma kulikuwa na amani ya kweli.
 
Halafu watu wanabana pua na kusema Kenya kuna Demokrasia na uhuru. Hovyo kabisa
 
Akiuwawa Judge mmoja tu Kenya kutawaka moto. Endeleeni kushangilia upuuzi wa Jubilee.
 
Mada hizi huwa nadra Sana kuletwa huku na wakenya wenyewe wao huleta zile za kumsifia Kenyatta Tu.

Baba WA demokrasia anatishia uhai WA majaji!

Kwenye demokrasia Africa yote haichekani,hakuna mwenye afadhali.
 
Ni mwendo wa Rafiki yako adui wangu
 
Back
Top Bottom