Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga amemtuhum IGP Joseph Boinett kwa kupuuzia usalama wa majaji


Ehe, Uhuru angalia sana, utaishia Diheig
 
Hakukuwa na amani iliyotamalaki MIOYONI mwa wananchi, bali mitaani palitamalaki askari wengi sana, mabomu ya machozi mengi mno, pamoja na magari ya washawasha kibao...!!!

Yote hayo yasingekuwepo, ndo ungeweza kujudge kma kulikuwa na amani ya kweli.
Wenye mawasha washa ndo walionyang'anywa ushindi, kwahiyo wasingeongeza miwasho miwili kwa wakati mmoja
 
Mada hizi huwa nadra Sana kuletwa huku na wakenya wenyewe wao huleta zile za kumsifia Kenyatta Tu.

Baba WA demokrasia anatishia uhai WA majaji!

Kwenye demokrasia Africa yote haichekani,hakuna mwenye afadhali.
Role model wa chadema !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…