Jaji mmoja wa Kenya kati ya wale saba ana Jina la kwanza la ajabu

Jaji mmoja wa Kenya kati ya wale saba ana Jina la kwanza la ajabu

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Wakenya bana sometimes wanachekeshaga Sana. Kuna Jaji mmoja kati ya wale saba anaitwa Smokin Wanjala unajiuliza what's this? Hata kama kuiga huku ni kuvuka mpaka.

Afadhali bongo tunaiga lakini siyo kivileee, mfano Dodoma kuna msela flan anaitwa Wolfgang Mponeja angalau.

Kuna huyu mbunge alichaguliwa majuzi kwenye kura za marudio anaitwa Fernandez Barasa dah! Pia nilishawahi kusikia Mkenya mwengine anaitwa Flagpost Wainaina na mwengine Joao Pinto Onyango, unabaki kushangaa tu.
 
Hilo ni Jina lake au AKA....

Pili Smokin Peke yake au Wanjala peke yake huenda isiwe issue

Ila Smoking Wanjala ikiunganishwa na kwa wanaoconnect dots pasipo dots wanaweza kusema smoking ganja

Ila one mans Poison is other's Meat kwa wenzetu kina Robert Nesta Marley Huo Mjani ni Sunna
 
Majudge wale walivyomtenda Raila hata sina hamu.

SMOKING alikua amevuta msuba
 
Back
Top Bottom