Jaji Mstaafu Robert Makalamba: Watanzania hawakutaka mfumo wa vyama vingi, Nyerere ndio alitaka

Jaji Mstaafu Robert Makalamba: Watanzania hawakutaka mfumo wa vyama vingi, Nyerere ndio alitaka

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825

Katiba haiwezi kuwa juu ya Mwenyezi Mungu....."​

"Watanzania hawakutaka mfumo wa vyama vingi,Nyerere ndio alitaka"-Jaji Mstaafu,Robert Makalamba katika semina ya mawakili wanaotetea Haki za Binadamu Zanzibar,iliyoandaliwa na THRDC.
 
Sasa kipindi waulizwe tena kupitia Referendum kama wanataka vyama vingi, katiba mpya na serikali mbili/tatu/moja.
 
Yale yake kwenye nchi ya watanganyika,mtu mmoja akatuamlia tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi wakati majority ya watanganyika hawakutaka mfumo huu,na majaji njaa wakawa kimya tu
 
Katiba haiwezi kuwa juu ya Mwenyezi Mungu....."​

"Watanzania hawakutaka mfumo wa vyama vingi,Nyerere ndio alitaka"-Jaji Mstaafu,Robert Makalamba katika semina ya mawakili wanaotetea Haki za Binadamu Zanzibar,iliyoandaliwa na THRDC.
Yuko sahihi asilimia 80 walikataa vyama vingi.
 
Sasa kwanini asishauri Serikali ya CCM kuvifuta kama anaona having tija kwake?
 
Nilipata bahati ya kufundishwa na marehemu Profesa Haroub Othman na alieleza kwamba wakati huo wananchi wengi walitoa maoni yao ambayo kimsingi ukiyatekeleza huwezi kukwepa mfumo wa vyama vingi ingawa wao walitaka chama kimoja. Hivyo suala hilo lilikuaa ni la uelewa kwamba wananchi asilimia kubwa walikua wajinga.
 
Wakati mwingine ukifika umri wa kustaafu everything is falling apart , God forbid dont loose your mind
 
Back
Top Bottom