DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za matusi, kashfa au vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani na mshikamano wa kitaifa.
Akizungumza Jumatatu, Agosti 18, 2025, katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kituo cha Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), mkoani Dar es Salaam.